Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,771
- 4,491
Last seen yake ni lini?
Last seen yake ni lini?
Hii stori ni kali sana.Duuuh...!!! Huyo binti namfahamu vizuri tuu.
Watu mna ushauri konkSasa ukimwambia unategemea nini?
Ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wako. Kama kweli huyo girlfriend wako unampenda kama unavyoelezea hapa.
Wanaume tumeumbiwa mateso, teseka nalo miezi miwili ilobaki sio muda mrefu sana boss.
Ukishapima ukagundua wewe ni mzima basi usikaribie wala kukaribisha zinaa karibu yako.
Uliiomba mvua mwenyewe, yavumilie matope tu boss, patanyauka muda sio mrefu maisha yataendelea
bossi tupe mrejesho. ulishaoa? Je, ulikuwa umeathirika?Asante sana!
Kapime baada ya mwezi mmoja. Halafu baada ya mwezi mwingine. Kama anatumia dawa na anatumia ipasavyo, hata mngefanya isingekuwa na shida.
Huna haja ya kumwambia mchumba wako kilichotokea. Ukweli mwingine utakuweka huru lakini sio huo. Kuhusu jigijigi, mwambie mchumba wako umeambiwa na Dr. una UTI kali na kwa sasa unatumia dawa. Kuna UTI ambayo unaweza ukatumia dawa hata miezi mitatu.



aisee duhHata ingeingia still usingeupata,
Maana alikua kashalainika, maeneo chapa chapa, hapo wateleza tu mdogo mdogo hakuna kutumia Nguvu, hao virus wangebaki kule kule tu
mkuu hii post naona ni ya muda kidogoMwambie unahisi dalili za covid19 ili msionane
mabaharia hawarudi nyuma sioSasa mbona ulikuwa kigeugeu kumtafuta baada ya mwaka mzima?
huo umalaya bwana.
we sio baharia kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
it hurts a lotYani umwelezemchumba wako ulitaka kuchepuka upate relief?
You cat be serious! Ni heri ufe na mzigo wako moyon mwako, sababu umeshayasema hapa kiasi kikubwa cha mzigo nahisi kitakua kimekuondokea, na ukithubutu kumwambia hata hiyo ndoa sidhani kama itakuwepo tena
Wakati mwingine mjuage bas kusema na tamaa zenu, mtu humjui mmekutana tu juu juu unamwamini kiasi gani kumwingiza kwako na kumfanyia yote haya, yan maisha yako ulikua unayweka rehani mwenyewe kwa tamaa tu
Kama hakupata wala ww hukuwa na michubuko maambukizi kupata chance ni ndogo sana subiri tu huo muda utimie ukapime ujiridhishe au kama unaona unawaswas sana ungeenda hospital kuna dawa flani ungepewa wakat unakua kwenye window period
Hope utakua umejifunza.
sifa mojawapo ya baharia Ni kuwa na msimamo usioyumba. Ni marufuku kuwa kigeugeu
Sawasawasifa mojawapo ya baharia Ni kuwa na msimamo usioyumba. Ni marufuku kuwa kigeugeu
Sent using Jamii Forums mobile app