Ummy Mwalimu: Watoa huduma za afya wasikimbie wagonjwa, sio kila homa kali ni Corona

Uuguzi Ni wito,,hii ya wauguzi kukimbia wagonjwa ndo nimesikia mwaka huu,haijawahi kutokea popote
 
Nimesikiliza maneno ya waziri wa Afya Ummy Mwalimu akiwaasa wahudumu wa Afya kutowakimbia wagonjwa wa Corona tayari. Sijashangazwa na Hali hiyo kwa sababu wabongo kila kitu huwa tunafeki na hapa pia ndipo utapata majibu kwamba hata madegree ya udakitari waliyonayo watu Ni upuuzi mtupu.

Nimepata kuona baadhi ya video zikionyesha wagonjwa wakibeba maiti baada ya wahudumu wa Afya kuikimbia. Lakini pia nimesikiliza audio ya mtu aliyedai kuwa Ni mgonjwa wa Korona aliyelazwa Amana hospital akilalamikia huduma duni kutoka kwa madaktari na kusema kuwa wanawakimbia na kuogopa kuwahudumia.

Kwa Hali inavyoendelea na Kasi ya maambukizi ilivyo Ni vema Serikali ianze kuangalia utaratibu wa kuomba msaada wa madaktari kutoka nje maana Hawa tuliona waliaokariri vitabu tu Kuna siku wote watazikimbia hospital.
Ni Hayo tu.
 
China walikuwa wanavaa zaidi ya layer moja kama protective gears, hapa kwetu utasikia matamko tu toka kwa waziri. Mungu awalinde wauguzi na Drs wetu, wanafanya kazi mazingira magumu.
 
Wapi hilo limetokea?
Kwanini wawakimbie wagonjwa?

Hii inatupa picha kubwa kuwa huenda waathirika wa Corona wananyimwa huduma stahiki na kuna watumishi kadhaa wa Afya huenda tayari wameathirika na Corona lakini inafichwa.
 
Fuko la pesa za msaada wa Corona, Magufuli kaliatamia kama kifaranga huko Chato.

Magu ana tamaa sana
 
Nimesikiliza maneno ya waziri wa Afya Ummy Mwalimu akiwaasa wahudumu wa Afya kutowakimbia wagonjwa wa Corona tayari. Sijashangazwa na Hali hiyo kwa sababu wabongo kila kitu huwa tunafeki na hapa pia ndipo utapata majibu kwamba hata madegree ya udakitari waliyonayo watu Ni upuuzi mtupu.

Nimepata kuona baadhi ya video zikionyesha wagonjwa wakibeba maiti baada ya wahudumu wa Afya kuikimbia. Lakini pia nimesikiliza audio ya mtu aliyedai kuwa Ni mgonjwa wa Korona aliyelazwa Amana hospital akilalamikia huduma duni kutoka kwa madaktari na kusema kuwa wanawakimbia na kuogopa kuwahudumia.

Kwa Hali inavyoendelea na Kasi ya maambukizi ilivyo Ni vema Serikali ianze kuangalia utaratibu wa kuomba msaada wa madaktari kutoka nje maana Hawa tuliona waliaokariri vitabu tu Kuna siku wote watazikimbia hospital.
Ni Hayo tu.

Serikali yetu ama kwa kujua au kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya, iliwafukuza wauguzi wazoef na waliobobea na wenye ujuzi na wito na kazi ya uuguzi kwa vigezo vya kutokuwa na vyeti. Sasa wamebaki na wenye vyeti ambao wanawakimbia wagonjwa. Tusiwe tunafanya maamuzi kwa kukurupuka bila kuangalia madhara yake jamani. Na sis wananchi tuliokuwa tunashangilia wale manes Mama zetu wakilia kwa kufukuzwa kazi sasa hiv ndio tunalia kwa kukimbiwa na wahudum na madaktari.
Sio mahospitalini tu wanapata tabu ya kuondoa watu wazoef, hata sehem nyingine mfano bandarini Tpa wiki iliyopita kuna gari ilitumbukia baharini ikiwa na wafanyakazi wanne sem yenye kina cha mji kama mita 14. gari ilikuja kutolewa wameshafariki wote. Lakini kama wale madiver wazoef waliofukuzwa kwa kutokuwa na vyeti wangekuwepo wangezamia na kuokoa wale watu na wasingekufa. Tunao madiver kweli waajiwa wapya na wenye vyeti vizuri lakin uzoef hawana.
Sem nyingi kuna shida ukienda upande wa madereva wote ni mashahd tunaona yanayofanyika barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiko sio kigezo, huwezi ukaambiwa uhudumie mgonjwa wa corona huku huna vifaa vya kujikinga na wewe ukajitoa kimaso maso eti uzalendo, huo ni uwendawazimu.
 
Mtu akikubali kufa kwasababu ya maneno ya Ummy Mwalim nitamuona MJINGA KABISA.

Corona sio sawa na kipindupindu, hili dubwasha linakuzoa na familia yako inabaki kutaabika.

Ukijidai shujaa unakufa, hii haina ujanja. Msidanganywe na wana siasa.

Kama Kunawa mikono kunazuia maambukizi mbona Mahakamani wanatumia Videoconference kuendesha kesi?

Si wangewekewa matanki ya lita 10000000 waoge kabisa hayo maji waendeshe kesi wakiwa wasafi?!

Kwanini Kada ya Afya inaingiliwa? Sijawahi kusikia Daktari wa binadamu kawa Waziri wa Sheria na Katiba, lakini Waziri wa Afya ni Mwanasheria.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom