Recent content by Danna12

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini walinzi wa viongozi huvaa earphone?

    Nimecheka!!!
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani mimi nachoka kumsikiliza

    Kama una stress kuishi na mtu wa ivo ndo vizuri sababu atakuwa anakutoa kwenye msongo uliokuwa nao ata kwa muda mfupi, kikubwa ni kuchukulia simple hiyo tabia ya mwenzio pia kama unamwamini unaweza mshirikisha hizo stress akakushauri na kama sio kwa yeye, mtafute mtu unayemwamini ili...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Kimara: Mstari katikati ya upendo, hisia na kujali

    Samahani Mshana nimetamani kujua huo mchakato unavofanywa hadi kumbadili mtu kusukwa upya
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu nifanyeje? Mke wangu ananipenda sana

    Wala usishangae sana inawezekana kazidi kukupenda kutokana na mabadiliko fulani toka kwako aliyokuwa akiyahitaji so mpende pia ili asiwaze kwingine
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulioharibu ndoa zetu baada ya wenzi wetu kuhamishiwa Dodoma, tukutane hapa

    Mungu azidi kukujalia moyo huo kwa kweli
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulioharibu ndoa zetu baada ya wenzi wetu kuhamishiwa Dodoma, tukutane hapa

    Ahahahaaa, ngoja wagongane na kipenzi cha moyo wako haswaa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Comment za kuchekesha mitandaoni

    Looh!! Una roho ngumu we kaka
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli baadhi ya watu hufungwa kuoa au kuolewa au hizi ni Nadharia?

    Ahahaa eti minyororo na makufuli makubwa!! Wakati mwingine ukataji tamaa tu ndo humfanya mtu kupoteza ushawishi wa mahusiano mapya kwa fikra ya kulinganisha mtu wa zamani na mahusiano mapya na hofu ya matukio ya nyuma ila ukiruhusu nafsi kufungua kurasa mpya ni rahisi kabisa kuweza kuoa ama kuolewa.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Afande Msoma Qur'aan anaweza kuwa katupiwa jini tusiisingizie Corona

    Ni kweli kabisa,kwenye jina la Yesu na Damu ya Yesu kuna ukombozi
Back
Top Bottom