Hii habari inaenda sambamba na fao la kujitoa. Maana kama fao la kujitoa ingekwepo basi watu wengi wangeacha kazi kwa mambo kama haya. Kwa sasa hakuna wakufanya hivyo wakati anajua hakuna pesa atapata huko NSSf na mashirika mengine huko.
Halafu kutwa kuleta habari hapa waarabu Wabaguzi sijui Ulaya wabaguzi.
Hivi anaepokea mgeni kwenye nchi yake na baada ya miaka kadhaa anampa uraia na ambaye hata mtu akizalizwa kwenye nchi yake hawezi kubali kama huyo ni raia wake nani mbaguzi?
Wakati karibu Dunia yote mtu atakapozaliwa...
Hata hao unaosema wewe kwa sasa hakuna hiyo kazi ilishaisha kitambo.
Kwa sasa kupata hela ya kula tu na sio unavyofikilia wewe hiyo kazi naijua vizuri sana kuliko kazi yeyeto ile.
Dah wee jamaa ungejua kuwa hao madereva kwenye ajira zao hata waalim wananafuu.
Kazi ya udereva wa maroli Tanzania sio kabisa acha kusikiliza stori za kuambiwa baadhi yao walipata pesa kipindi cha nyuma tena za uwizi kwa sasa hakuna hata huo wizi.
Kuna kampuni nyingi tu watu wanaendesha magari...
Mkuu umejuaje kama hana watu anaojuana nao humu? Halafu wapo watu wengi sana kuliko unavyofikili wewe wanapita kimya wengine pesa wanazo ila hawataki kumchangia wana mawazo kama yako wewe ila hawaleti nyodo kama zako.
Usijifanye mjuaji wa kuongea sana wee kama vipi kausha tu sio lazima...
Hata mtu asiyesoma mambo ya sheria akijuliza swali moja tu anapata jibu.
Kwani hiyo nafasi ya katibu wa Bunge ndio imeanza awamu hii?
Kama ilikwepo je hao maraisi waliopita walichagua vipi huyo Katibu?
Mbona jibu lipo hapo.
Ajali tarehe 8 pesa imekusanywa trehe 9 hizo pesa zimetumwa tarehe 20!! Naona zinaanzishw nyuzi kibao za utetezi. Mbona zinatumika nguvu nyingi kwenye jambo hili?
Hivi huu uzi unavyoachwa hivi na maneno ya kuchukizana jf hamuoni? Na kukiwepo machafuko ya kidini mtakataa kuwa jf hamjahusika? Watu wanatukanana mnaangalia? Wanakashifiana Imani mnaangalia tu? Kuna watu wako na imani zao ila hawapendi kubishana km hivi mnawajengea picha gani? Huzi ufutwe huu...
Hapo halmashauri mbona sio shida na hkn usumbufu kujaza hicho kitabu.
Ukienda Rita ya dar ndio utashangaa hio foleni ya kujaza majina yako kwenye kitabu.
Kuna watu humu wanashangaza sana mtu km mada ipo juu ya uwezo wako sio lazima uchangie.mbona watu wengi wanasoma na kupita kimya kimya?Acheni kujitoa akili kwenye mjadala wa mambo ya maana mnaboa sana. SIO LAZIMA KUCHANGIA MADA KHEEEEEE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.