Watanzania lazima tuelewe hii nchi si iliingia mkataba na MCC ,na kuelewa kabisa mashariti yake, sasa kama umevunja masharti wao si wanachukua hatua zinazostahiki.Hapa tunataka kuona serikali ikijibu au ikijitetea kuwa hatujavunja sharti lolote tulilosaini hapa wametuonea au ni kweli tumekwenda...
Ndugu wananch wanaochangia hapa, tumesikia na tumeona kwa macho matukio ya wizi na dhuluma ktk uchaguzi. Wizi ni mojawapo ya dhambi ambayo Mungu anaichukia sana. Na madhara yake ni makubwa kwa jamii. Madhara ya wizi ni kama ifuatavyo.
1. Unaleta laana,ukipata kiongozi mwenye laana hiyo laana...
Bwana Mtazamo, Hawa wanaogawa majimbo wanaangalia kukubarika kwa chama husika katika maeneo hayo.katika majimbo ambayo ni magumu lazima wapeleke mgombea pale ,kwa sababu Chadema wana majimbo mengi hapa dar wanakokubarika inabidi majimbo yaliyobaki wapewe wengine.Pia kumbuka hii ni ukawa...
ok sister hapo umenena kuna wasichana wengi wa namna hiyo hawena habari kabisa na mambo ya maisha pamoja na familia, wao wanaiga tu wanachokiona mitandaoni.mf binti anataka kuolewa hawezi au hajui hata kutayarisha chakula (kupika) cha familia je atawezaje kuitunza hiyo familia anyokwenda.kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.