IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
we jamaa tangu lini umekuwa demu? maana nakumbuka umemaliza pale UDSM mwaka 2010 electrical eng... ulikuwa mwanaume wa haja leo imekuwaje tena ukawa dem?Wadau,
mimi ni mdada wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana. Mweupe, mnene wa wastani, mrefu, sinywi pombe na sivuti sigara. Naishi maisha ya wastani. Mimi ni mkristo
Natafuta mwanaume wa kuwa naye ktk maisha awe na umri wa kuanzia miaka 26-40, awe anajitegemea kiuchumi(awe anajituma kufanya kazi), kabila, dini au rangi havina nafasi.
Kwa aliye tayari anaweza kuwasiliana nami kwa email hii. NIANDIKIE_LEO@YAHOO.COM.
Serious please. No jokes. Kama unaonaje sio lazima uchangie. Asanteni.
nakumbuka mwaka wa pili uli- carry somo la java programing na instrumentation.... ukibisha naweka GPA yako hapa....