Recent content by danja de genzo

  1. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://x.com/MickyJnr__/status/1952454749313171710?t=UsMvxLiSY1O-2VQzUpAQug&s=19
  2. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii comment imenifanya nicheke
  3. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wengine wafuata mikombo ila ninaejua yeye amkubali mzee Toka atumbuliwe ni uyo chawa wa mama
  4. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Bro humu watu walikuwa Awana Cha kupost dhini ya wakenye humu ila jamaa kawapa power iyo ila wanasahau je mlikuwa mnapost vitu vinatoka wapi Tukubali tu mama ana winning Kwa kupitia mzee pia anatengeneza legacy yake nzuri Mama anayo madhaifu na mazuri yake kama ambavyo mzee alivyokuwa navyo...
  5. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Usijisahaulishe muweka link za video
  6. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nyingi ndio wapumbavu ela hizi mnazogawa zinatoka wapi Aya sio madudu au ?
  7. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Bro achana na uyo jamaa anaongea Kwa mihemko nadhani Kuna tatizo lilimpata na ao wanaoponda ndio tulikuwa tunawashuhudia wanatuwekea Hadi link za live hapa uzinduzi na baadhi ya miradi iliyokamilika
  8. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Watu wanaongea Kwa mihemko ila ground vitu vinajulikana mbona
  9. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Bro embu acha mihemko
  10. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ikiwa kama miaka mitatu imekata miradi aliyoiacha msukuma bado aijaisha nadhani wenye akili timamu watanielewa miradi inahitaji muda hata yeye angekuwepo ingekamilika kulingana na muda husika wa miradi.
  11. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wewe sindio unaongoza Kwa kuweka video za miradi humu mpaka link za live au wewe mwenyewe upitiagi kablà ujatuma.
  12. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Magufuli uyu ndio alizindua hospital ya uhuru Magufuli uyu SI ndio aliyeleta kivuko Cha mv kazi Hata reli iliisha wakati wake wa kipande Cha moro zaidi ilikuwa kwenye majaribio na baadhi ya vitu Hospital hizi mnazotamba nazo ni kipindi chake na mama kaja kuongeza Kwa nafasi yake Kila mtu...
  13. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sometimes naona awa wakenya Kuna wakati wanawafinya Kwa ufinyu wenu wa kifikili limtu lilikuwa hapa siku nzima linasifia magufuli Leo hii leyenye ndio linakuja kukataa Last time mlitamba hapa nà daraja la kijazi wakiti mzee anazindua na kulipa jina flyover ya buguruni hivyo hivyo Leo vichwa maji...
  14. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mngeenda mkamfufue Sasa amalizie bwege wewe Mimi nilikuwa napitia huu Uzi Toka 2015 najua vizuri mihemko Yako kama wanasiasa uchwala ambao wanasifia then wanasahau walichokuwa wanasifia
  15. danja de genzo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Acha upunguani bro before magufuli kufa baadhi ya miradi alishaanza kuizindua ufanye kazi mama naendelea alipoishia mwenzake acheni kuongea ungese
Back
Top Bottom