Recent content by danilo silva

  1. D

    Serikali yapeleka huduma ya mabasi ya Mwendokasi Kibaha

    Unaishi wapi wewe? Yapo mengi tu hapo Mbezi
  2. D

    Ujenzi/upanuzi wa njia nane Kimara-Kibaha una walakini

    Mkuu ufafanuzi kidogo unahitajika hapa. Hiyo barabara ya mwendokasi abiria watapanda na kushukia wapi? Sioni sehemu ya kujenga kituo. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    Tetesi: ESTIM kujenga barabara Kimara - Kibaha

    Ungekuwa unatokea maeneo ya kibamba, mbezi , kimara ungekuwa unaelewa umuhimu wa barabara hii. Je unafafamu kila asubuhi saa 1 polisi hulazimika kuzuia magari yaendayo mikoani eneo la kimara mwisho kupisha njia mbili kwa magari yatokayo mbezi?
  4. D

    Tetesi: ESTIM kujenga barabara Kimara - Kibaha

    Hivi ESTIM ndio hao wako site kimara na kibamba?
  5. D

    Naomba kuuliza....

    Kwenye menu ni 148 na 149 ndizo zilizoruhusiwa na tcra
  6. D

    Naomba kujua upanuzi wa Morogoro road kutokea Kimara hadi Kiluvya umefikia wapi?

    Naona wanasafisha pembezoni mwa barabara lakini hakuna bango. Labda ndio ishara ujenzi utaanza muda wowote.
  7. D

    Naomba kuelekezwa haya kwenye Samsung galax note 5

    Kwa mujibu wa IMEI yako hiyo ni Samsung S5 maalum kwa ajili ya Verizon. Na ina uwezo wa 4G. Kwani haifanyi kazi?
  8. D

    Sijui itafungwa??

    Hiyo itabidi tu ifungiwe. Laini 5?
  9. D

    TTCL mobile (CDMA) internet settings

    Unazo contacts zao mkuu? Kwenye website yao sikupata msaada
Back
Top Bottom