Naomba kuuliza....

Naomba kuuliza....

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,138
Kwanini mitandao yote ya simu kuingiza vocha inaanzia *104*.....# lakini menu nyingine zinatofautiana?
 
mwanzo wa akina Tritel na wenzake ilikuwa ni kujijazia kutoka na kampuni
sasa wote wanadhibitiwa na TCRA na hivyo wanajipangia mfumo utakaofanana
na hata kuna kipindi waliambiwa mtu mwenye mtandao mmoja km ni tigo basi apige na kwingine kote bila masharti
mfano mzuri angalia kwenye Electronic money wote tunaenda na *150*00# ndio walioanza na wanafuata wengine
 
Back
Top Bottom