Recent content by Danijah Godiva

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

    Inabidi uwe makini maana ujuzi ukizidi lazima niulize umejifunzia wapi kama my man huwa namuuliza amejulia wapi kumvua bint bra maana anajua kuvinasua vile vitasa mpaka nabaki[emoji15]
  2. D

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu mdogo wake Lazaro Nyarandu anayeishi nchini Marekani ni mtu wa aina gani hasa?

    Makubwa sana haya mkiambiwa bangi mbaya mnakataa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kusambaza dawa ya kuzuia Virusi Vya Ukimwi (HIV) aina ya Truvada

    Umevurugwa wewe walah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  4. D

    JamiiForums Tanzania Fahamu siri kubwa iliyopo nyuma ya namba 13

    Ndo maana anakwambia kiubishiubishi[emoji23] [emoji23]
  5. D

    JamiiForums Tanzania Oral interview NHIF kupitia sekretarieti ya ajira leo tarehe 18/04/2018

    Majibu ni huwa baada ya wiki tatu jamaa yangu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Oral interview NHIF kupitia sekretarieti ya ajira leo tarehe 18/04/2018

    Wanaojiamini mara nyingi wanaferi huenda your overconfident wakaona utawasumbua kazini. Mimi nilijiona nimeferi maana maswali mengine nilikuwa nasema nimesahau na nimepata post ndo nimeanza
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi bank teller

    Aisee bank teller ni moja ya kazi ya ndoto zangu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira; Ukiritimba huu hadi lini?

    Aisee tuna lawama sana watz ushaambiwa hawaruhusu transcript we bado unaenda nayo ukitaka nchi iendeshwe unavotaka mkuu hatufiki Mimi nimefanya usaili sina ninayemjua nimefanya wanavyotaka sasa hivi nipo kazini. Tuache kuchafuana jamani vigezo na mashart kuzingatiwa
  9. D

    JamiiForums Tanzania Majina Maarufu kama Gentamycine, Jingalao, Barbarosa, Erythromycin kupotea mwezi huu

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya: Serikali kuajiri Walimu 10,000 mwishoni mwa mwezi Juni, 2018

    Inshaa Allah! MUNGU ajaalie
  11. D

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Ulaya jinsi yalivyo pasua kichwa

    Doh! Ndo maana hata vijana wetu wakiume wanaolewa sijui kwa nini watu wanapenda kwenda ullaya kwa muhutsari huu sitamani kabisa.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu maisha ya India

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wote wanatoa mahali aiseee hasara hata mi ningekimbia
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu maisha ya India

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  14. D

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Shida yangu Mimi ninacho cha antenna ninahamia mkoa mwingine je nitaweza kukitumia kama kawaida?
Back
Top Bottom