Abx
Senior Member
- Oct 16, 2012
- 139
- 79
Habari wana bodi,
Ni juzi kati tuliitwa kwenye usaili wa mchujo (interview) hapo maktaba ile kufika jibu likawa kama huna cheti ishia hapo hapo, sasa sisi wengine tulikuwa na matokeo ya muda (provisional results) toka taasisi yetu ya mafunzo, tukazuiliwa kuingia tulikuwa wengi kama 60 hv.
Cha kusikitisha ghafla akaja kijana mmoja namfaham kwa kumuacha pale nliposoma soma mimi, na kuwa ndo alikuwa amefanya mtihan wake wa mwisho hatavile provisional hana nlonayo mimi, alifika pale na kuingia bila kikwazo chochote, na hakuonesha utambulisho wowote wa sifa ya nafasi ya kazi ile aliyokuja kufanyia usaili.
HII SI SAWA KABISA, HATA KAMA WEWE UNAJIITA MTETEZI WA WANYONGE BADO HUKU VIJANA WAKO WANAKUANGUSHA KULE PAMEOZA MZEE PAANGALIWE KWA JICHO LA TATU NA LA KIPEKEE, Vinginevyo elimu yetu sisi makapuku toloitegemea itukomboe tutakuwa ni kupoteza muda tu bora tukalime matikiti maji kule Magu.