Hili ni tatizo kwa vilabu vyote nchini upande ule mwingine raisi wao ni mtendaji mkuu kwe makampuni ya mwekezaji so unazani mwanachama utasema nn ukipiga kelele sana watakwambia tim haikuhusu w mla mihogo unajua hasara ambayo tunaingia.
Ata makampuni mengine yanayo wekeza humo ni yao au rafiki...
Hakuna mwl mwenye ml 2 cash.
Huyu c jui n mtu gani.
Itakua ndo hawa walikulia machakani ghafla wakasoma mjini waka kutana na motivational speakers wakawaambia professional zao hawata fanikiwa wauze jicho wanakuja ku shtuka wenzake wenye professional hizo hizo wametoboa yy na jicho lake kila mda...
Una maana mwafrica hajakamilika mbaka mweupe awepo ndo afanye maendeleo yeye abwebwe na maendeleo yale.
Basi hata bandari wapeni sababu hatuna hakili acha wafanye weupe sisi tutafaidi matunda ya weupe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuwa timamu mbaka watu wakujengee nchi huku wakiwatesa babu zako.
Aisee m watu ambao huwa wanasimamia kwenye hii point ya kipumbavu huwa nawaona hawajielewi bora ata mtoto alie zaliwa leo he/she can think positively than these jerks c jui huwa wanatumia mantiki ipi aisee so sory...
Ukija kusimewa dua unatoa hela na lazma upike kwa nn wasije kusoma dua waondoke.
Hakuna sini isiyo na upigaji waamin huwa hatuzisemi dini au mashehebu yetu tu ili kutunza heshima ya dini zetu ila ndani kwa ndani huwa kunafukuta kubali ukatae ukweli ndo huo
Sent from my SM-A032F using...
Bora hao ndugu kuna watu wanaitwa wahutu, wakianza kula kwanza sheria ni lazma kama mnakula mfano ugali nyama ni kwamba nyama moja inaliwa na watu wote mkimaliza ndo mna anza kula nyingine kila mtu ana ivuta nyama na madole yake kwa sisi tusio na ustaarabu huo inatia kinyaa mbaka basi.
Alafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.