Recent content by daniel nditi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

    Hakuna mahakama ya kadhi hapa kama mnataka nendeni zanzibar
  2. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA kutoshiriki mchakato kura za maoni Aprili 30, 2015

    100%wako sawa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mbinga tumepigika inatosha sasa CCM kwaherini

    Mm nimzaliwa wakule ktk kijiji cha kindimba juu nimetoka jumapili RAIA Wa pale kijijini panakituo cha ukusanyaji Wa mahindi ya serikali lakini kilicho nihuzunisha MTU akitaka kupima mahindi yake pale mpaka atoe rushwa sio kidogo hadi milioni mbili kwa wale maofisa
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mbinga tumepigika inatosha sasa CCM kwaherini

    Lakini kwauchunguzi niliofanya watu Wa mbinga hasa Wambinga mshariki wanajituma sana ktk maendeleo lkn MTU wakuwaongoza bado hajapatikana maana Kule kuna fursa kibao
  5. D

    JamiiForums Tanzania Binti amepotea

    Huyo binti Akishatumika atarudi yeye
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kisarawe ni Wilaya au kijiji? Yani siamini macho yangu

    Wale uwaambie mambo ya kigodoro na sio maendeleo watakuloga
  7. D

    JamiiForums Tanzania Binti amepotea

    Huyo binti anamiaka mingapi mkuu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Si haki! 'Panya road' wametulaza saa mbili jana!

    Hivi panya rodi ni kitugani?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mbinga tumepigika inatosha sasa CCM kwaherini

    Lakini kwauchunguzi nilioufanya uchaguzi unaokuja wabunge wakule hasa gaudensi kayombo afanye kazi ya ziada maana chadema wameanza kueleweka kule.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mbinga tumepigika inatosha sasa CCM kwaherini

    Sio wongo mtoa mada yupo sahihi,wananchi Wa mbinga wameikopesha serikali mahindi na hawajaambiwa kama wanalipwa lini wao wamebaki na marisiti tu.mm nimetoka kule jumapili na RAIA hawajui watapata wapi hela kwaajili ya maandalizi ya msimu unaoanza safarihii ...na shughuli nyingisana zimesimama...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti: CHADEMA ndicho chama kinachotajwa sana

    Nikweli kunakijiji Fulani kipo singida yani kilekijiji watuwake ni maskini wakutupwa na Huduma za jamii hamna wanatembea zaidi ya kilomita 45 kufuata Huduma kijiji kingine lakini chakushangazakila kibanda ukipita kuna bendela ya chamachamajambazi inapepea watu wamevaa cape na t-shert .ccm...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti: CHADEMA ndicho chama kinachotajwa sana

    Sasa wewe unaleta mambo ya bokoharamu.inaonesha unapingana na ukwel.nchi hii nishida
  13. D

    JamiiForums Tanzania Sitti Mtemvu kuburuzwa Mahakamani

    Kwani alikuwa na miaka mingapi halisi
  14. D

    JamiiForums Tanzania Waliosomea fani tofauti na ualimu ndo walimu wa shule binafsi

    Nani kakiambia walimu Nikimbilio kashfa hizo mkuu
  15. D

    JamiiForums Tanzania Boko haram waua wanafunzi 46 kwa bomu

    Jamani msishabikie ugaidi.hiyo dini inayouwa RAIA imelaaniwa
Back
Top Bottom