Ndugu yangu tena umeleta hoja nzuri sana ambayo nilikuwa naitafuta pakusemea kila siku hivi ni kweli wilaya ya mbinga ni kwa nini baadhi ya vijiji havifikiki?
yaani ukitokea pale njia panda ya Luhagara kwenda Litumbandyosi kuna kijiji kinaitwa
Kingole sidhani kama barabara ilishawahi kutengenezwa hivi karibuni kwa zaidi ya miaka 15 kwa nini lakini?