Binti amepotea

Binti amepotea

Kuna rafiki yangu wamepotelewa na binti siku ya 12 leo. Ngoja nijue maana simfahamu kwa sura huyo binti yao
 
Mtoto wa kike hapotei wala halali nje,
Vuteni subra atarudi tu.
 
Poleni sana kwa kupotelewa na mpendwa wenu,
ila mkuu MSHINO naomba urekebishe heading yako isiwe "BINTI WA KIKE". Mie ninachojua kuwa binti ni mtu wa jinsia ya kike .

Kiswahili nacho ni janga Mkuu! Eti binti Wa kike? Binti Wa kiume yukoje?
 
Last edited by a moderator:
View attachment 201193

Wana jamii mwenye ndugu aliyepotea, mida ya mchana binti mwenye picha hapo juu alionekana mitaa ya msasani akiwa ana maumivu makali huku akitokwa na damu km dalili ya kubakwa, binti alionekana km asiye na akili timamu, pia alikuwa akiongea kwa ishara tu. mtoa taarifa aliwakuta wasamalia wema wakijadiliana kuita polisi wa pikipiki kumsadia. Mkononi alikuwa na pesa noti mili za shilingi 500.
nakupongeza kwa juhudi za kumpiga huyo binti picha na hata kutoa msaada wa kumtangaza hapa jf ili apate ndugu zake, mimi sijali kwamba umekosea lugha ninachoangalia ni ujumbe umefika au la, ujumbe wako uko wazi kwa watu makini ila hao wanaohoji bila kusoma habari mpaka mwisho wananishangaza, labda Kiswahili nacho kimekuwa kigumu. Kazana sana kusaidia jamii. Mungu atakubariki. Kama kweli huyo binti amebakwa ni hatari sana, Mungu amsaidie katika aina yoyote ya maumivu na changamoto anazokabiliana nazo
 
Kiswahili nacho ni janga Mkuu! Eti binti Wa kike? Binti Wa kiume yukoje?

Kwani wewe hujaelewa nini na unataka nini? Angalia hoja iliyopo mezani, acheni mzaha kwenye mambo ya hatari, msicheze na sexual assault
 
Kwanza poleni. Pili nimeona umeandika binti wa kike...ha..kwani kuna binti wa kiume?
 
Binti hakuwa anaongea zaidi ya kutingisha kichwa tu, ukimtazama ni kati ya 14-17 alionekana km mlemavu wa akili.

Pole sana bint watu hawana huruma bila kujali alivyo wamemfanyia unyama,tunaomba wanaomfahamu wakipatikana mtujuze ili tujue usalama wake zaidi asante mtoa habari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom