Recent content by daniel lufumbula

  1. D

    JamiiForums Tanzania Je, Maamuzi yangu mabaya yanaweza kutumika kumwemka mwingine katika hali nzuri?

    Ndo uache kuchepuka Sasa,,maana umesapata hitaji lako tyr,,Ili uone kama kabadilika
  2. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    Sahihi kabsa mkuu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio Marais waliopita Wala wajao Bali ni Dola kulinda hisia za mtu badala ya vipaumbele vya Taifa

    Katka vitu,, au threat uliyowahi kuandika hii ndio no moja yako,, safi sana tunataka vijana wenye mawazo kama yako mkuu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

    Ko ester hadi leo,, mkuu hujampata? Na je unatarifa nae, na yy hajakutafuta?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa kutisha kuhusu uchawi

    Huyu anamtangaza mganga wake we hujaelewa hapo!!?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Mafumbo nina swali lenu hapa

    67 yrs
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nataka kuvunja ndoa yangu na ndoa ya baba mkwe, naomba ushauri wako kabla janga halijatokea

    Una akili sana mkuu,, kumbe na ww umeona,, halaf jf sijuw Kwa nn wana hii tabia ya kutuletea uongo hum,, et utishiwe Sasa anachokutishia s ndo ushaidi tosha au unataka nn Sasa? We mule utaona kitakachotokea hutoboi nakwambia, tusubil mlejesho,usiache kuleta.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda msaada

    Daa!! Kuna wanaume aise mna roho hili nalo ni jambo la kuja kuuliza huku aise,,, chukua maamuz ww,, na hiyo ndo tkert yake huko hom kwao,, kwanza piga pcha hiyo card ya mtt Ili uwe na ushahid,, peleka kwao siku akitaka kulud mwambie aende Kwa mme wake wa watt hao,, wambie na wazaz wake hapo hapo
  9. D

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Wabongo Kwa kujifanya wazung,,, nachekaga sana ko ote humu mnasikiliza ngoma za nje kwamba za kwenu hamzipend,,, yani jmn ukute mtu alikuwa anasikiliza hata ngoma ya brother k'' kaona huu Uzi aka screen shoot ngoma ya waenglish hahaha achen u,k"" wana jf..tupende na za hom hahah
  10. D

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mbona vipande vngne sion jman
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa unamshukuru Mungu kwa jambo gani kuu alilokutendea maishani mwako?

    Uzima,,, na ahueni ya maisha
  12. D

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya uzinzi ni mbaya sana

    Ila hapa kwel umenena,, utakatifu tu ndo utanusuru maisha yako ya ndoa na magonjwa pia kwenda Kwa baba yetu muumba wa mbingu na nchi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]we jamaa!!
Back
Top Bottom