Ushuhuda wa kutisha kuhusu uchawi

Ushuhuda wa kutisha kuhusu uchawi

Huyo Mungu wa Kabili ni kijana mdogo tapeli anapatikana Bagamoyo Kitopeni kwa Mashaka karibu na shule moja ya sekondari. Ni matapeli wakubwa mmoja wao anaitwa kalunde. Kuna jamaa alienda huko akawekewa kuku kichwani kuku akafa jamaa akadanganywa hiyo ni roho ya mauti kuna watu wanataka wakuue. Inabidi utoe hela tuchinje punda na kondoo kuondoa hiyo roho. Jamaa akatoa hela wakaanza kumzungusha stori kibao na hakuna cha kazi wala nini. baadae ndio majirani wa pale wakamwambia hao sio waganga ni matapeli tu
Tapeli wa Matapeli wote ni shetani, sasa unashangaa nini mganga kuwa tapeli?
Duuu

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona namba zake ili nichukue nikamfanyie mzab zab walahi nipo serious
 
69 imani yako ndio itakuponya vile unavoamini kila kitu kipo na kila kitu hakipo kama kilivo kila mtu lazima akubali ukweli ya jana sio ya leo na ya leo sio ya kesho siwez sema ni uongo na siwez sema ni ukweli hakika aliye amini atakae amini na anaye amini amefanikiwa kujua asiyopaswa kujua

#nimejikuta na andika hata sijui na andika nn #
 
Kumbe mateso mengi ni ya kutengenezwa. Nimesoma kwa makini na nimeumia sana kwa unyama aliofanya huyo mganga. Ama kweli jina Yesu lina nguvu. Basi watu wote wakiokoka kikweli hakuna uovu duniani. Naomba hii habari isomwe kwa wingi ili watu wajue maovu ya hii dunia. Lakini usikute ni hadithi ya kutunga!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anamtangaza mganga wake we hujaelewa hapo!!?
 
Wasomi wamekataa huko uchawi haupo! Sasa sijui hii nadharia watu wameitoa wapi! Watu wanapigwa vipapai huku kukicha ila wenye elimu zao wanasema ni ujinga🫢

Mambo ya kiroho mnaforce ku prove kisayansi, kwa hivyo hizo nguvu mnazozisikiaga zisizo za kawaida mnataka zipewe jina gani? Tutafutieni jina lenu la kisayansi mtupe sasa!

If there is evil, then there must also be virtue..
Hence,
Good and evil are two sides of the same coin. And
"Where there is shadow, there is light."
 
Hii story nimeisoma nikashindwa kuimaliza nikaamua ku i copy na ku paste sehemu kisha nimeprinti nitasoma baadae.

Ila nashukuru yule mwanamke wa Tanga nilishtuka mapema nikamuacha sikumuoa
Nilipomshtukia ni siku moja nilimkuta na hirizi nikaipasua nikakuta vipande vya nguo zangu zote ninazovaa
Hirizi nyingine nikakuta inapumua kama tumbo la chura anavyopumua.
Toka nilivyopasua ile hirizi alilia mno mno na kuanzia hapo tukawa tunagombana na nilikuwa namuona kama kimavi flani kinanuka

Baada ya kuachana dada yangu siku moja aliniambia neno ambalo hadi leo sijamuuliza alikuwa na maana gani.na alifanya nini .Aliniambia ulogwe tena.
Hii ni miaka32 iliyopita.

Wanaume huwa tunalogwa kila kona wake zetu,hawara zetu,makazini,kwenye bar ili tununue kila siku,kwa mama ntilie ili tukipata mshahara tunaweka huko,ma house girl wetu.
 
Ndugu zako wasomi kutuliko wamekataa huu ujinga! Wanasema hakuna uchawi mbona rais hamjamloga!😤
 
Ndugu zako wasomi kutuliko wamekataa huu ujinga! Wanasema hakuna uchawi mbona rais hamjamloga!😤
Kumloga raisi ni ngumu kwanza utampatia wapi? Pia raisi wa kiafrika haingii madarakani kilofa kuna watu wanamfuata ikulu kumuweka sawa.Zaidi ya yote watu wa dini zote wanakwenda kumuombea mchawi na shetani hawezi msogelea.
Unakumbuka wakati Nyerere anaaga wazee wa Dar kabla hajaamua kung'atuka kuachia ngazi ya uenyekiti wa chama? wakati huo alishaachia uraisi toka mwaka 1985?. alitoboa siri wazee kina Jumbe Tambaza walimfanyia nini mlingotini Bagamoyo? ili mkoloni akimbie mwenyewe?
 
Back
Top Bottom