Wadau msaada tafadhali. nahitaji ku instal BLUESTACK kwenye laptop yng aina ya acer aspire one.,kila nikiiweka inaniambia graphic driver zangu zipo outdated lakin hata nikiziupdate pia inaleta the same msg..nifanyajeee??
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza diploma ya business adm katika chuo kikuu cha mtakatifu yohana Dodoma (SJUT), Napenda kujua ni vigezo gani vinazingatiwa na bodi ya mikopo mpaka mwanachuo kupata mkopo..??
Nimemaliza diploma of Business Adm..Nataka nijiunge na OPEN UNIVERSITY,je ni sifa gan ninatajiwa kuwa nazo ili niweze chaguliwa kujiunga na OPEN UNIVERSITY kwa ajili ya masomo ya degree?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.