Recent content by Danger Coy

  1. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

    Msino wa bhinyu..! Walintàvu wee!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hayati Jpm.

    R.I.P Dkt. John Pombe Joseph Magufuli rais wa awamu ya tano wa Tanzania, nakukumbuka kwa wema wako na mapenzi ya dhati kwa nchi na wananchi wa Tanzania.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa ya jino, leo sijalala

    Weka magadi ya kienyeji litauma na kupoa jumla.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Game over
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37

    Njoo pm
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msije mkamdanganya Mama abadili vipengele vya tume ya uchaguzi. Hatatoboa

    Mkuu vipi kwani kuna shida akirekebisha?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hayawi Hayawi Sasa Yamekuwa. Huko Aliko Mwamba Mbowe Anachekaaaa Sanaaa na kufyonya

    Acha Shobo mtoto wa kiume🤣🤣
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hayawi Hayawi Sasa Yamekuwa. Huko Aliko Mwamba Mbowe Anachekaaaa Sanaaa na kufyonya

    😁😁😁😁😁😁 ubongo wako haufanyi kazi kwa kushirikiana. Ndio maana umekuwa linyiha jinga na chawi kupata kutokea hapa Tanzania , pia kwasababu ulizaliwa kwa bahati mbaya kwa maana wazazi wako walikuwaga kwenye starehe😁😁😁😁
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hayawi Hayawi Sasa Yamekuwa. Huko Aliko Mwamba Mbowe Anachekaaaa Sanaaa na kufyonya

    Kwa upumbavu wako unaendelea kutudhalilisha wanaume wote mpaka baba yako mzazi.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hayawi Hayawi Sasa Yamekuwa. Huko Aliko Mwamba Mbowe Anachekaaaa Sanaaa na kufyonya

    Lucas mwashambwa wewe ni kijana mjinga, mpumbavu na hujielewi , kama taifa tuna hasara kubwa sana ya kuwa na vijana wa aina yako Brattyful
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Wanyiha sisi siyo watu wa mchezo mchezo ukituzingua tunakuwa wamwisho kufanya vitendo viovu😁🤣🤣🤣
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa sana nakufikia kuona kifo ndio suluhisho

    Mkuu, pole sana naomba kabla hujachukua huo uamuzi mfikirie mtoto mdogo aliye anza kuita baba. Kujiua siyo kutatua tatizo bali ni kuongeza tatizo kwa wanao baki hasa mtoto. Jikaze na vumilia kwa sababu kila jaribu lina mlango wa kutokea.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Lake Zone ni zone pekee nchini inaweza jitegemea na kuwa nchi

    Acha ukabila ndugu , hauna faida yoyote kwa karne hii
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ukiwa muajiriwa sehemu ogopa sana watu aina 5

    Kila Sehemu ulipo fanya kazi zako kwa umakini pata mshahara rudi nyumbani usifuatilie Maisha ya watu kazini
  15. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia

    Sawa, wewe ni mwalimu wa lugha?
Back
Top Bottom