Mmenikumbusha mbali sana enzi hizo pale kirumba Mwanza mwaloni tunaangalia video Kwa marehemu Mzee Kabago,kuna picha moja ilikua ya kivita inamakomandoo kama saba hivi, basa yeye rufufu anawataja mala Wa kwanza ki komando victor, wapili ki komando bashukwa Wa tatu ni komando sevellin, kumbe...
Tatizo wanaweka uchochezi pasipo uchochezi ,mwandishi huyo hajaelimika na tukifuatilia kiwango cha elimu yake inawaza kua aibu,tumwombe Mungu ampe uelewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.