Recent content by Dancila

  1. D

    JamiiForums Tanzania Sindumuja - Ukweli kuhusu burundi 2

    wewe fdlr hata maandishi yako yanaonesha sio mtanzania unajinasibisha ili kuficha uhutu wako, mlikimbia nchi yenu kwa chuki zenu na akili ndogo, na sasa mnajaribu kutafuta sympath ili ionekane mnaonewa!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Sindumuja - Ukweli kuhusu burundi 2

    we fdlr roho yako mbaya ya kihutu itakuua, katika uzi huu huna lolote ni ushuzi mtupu lengo lako ni kuspark chuki zako za kikabila ili uwapate wasio na akili kama wewe, kama shida yako ni kutetea uhalali wa bwana wako nkurunzia sasa issue ya uhutu na utusi imetokea wapi? mlishindwa na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    habari za kiintelijensia zinadai mshua ndio mleta masangoma ili kusaidia chama, ukizingatia nchi yetu ni kati ya zinazoongoza kwa kuamini ushirikina!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Uhusiano na mwanamke "classy"

    Lakini hao wanawake classy wao huwaza tofauti kabisa kuhusu dhana ya umri. Wao huwaoni umri kama kigezo cha kujitupa kwa mwanaume yoyote tu. ​we endelea kuwadanganya wenzio ila muda ukifika ndio mtajua kuwa menopause sio ugonjwa wa meno!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    maeneo mengi hapa nchini hasa hotel wanakataa malipo kwa kutumia shilingi na wengi wao ndio wale waliochangia kampeni za chama naamini jp hana uwezo wa kukatataza hili, ukizingatia yeye mwenyewe amebebwa hadi hapo alipofika!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tanzanians medias are brainwashing the majority of the citizens

    tanzania hakuna waandishi wa habari ni wababaishaji tu! na waganga njaa hata media houses zilizopo ni kwa maslahi ya kikundi fulani kwenye jamii!
  7. D

    JamiiForums Tanzania MwanaJF yupi anafaa kuteuliwa viti maalum?

    miss chagga anafaa
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu zoezi la uhakiki taarifa za Mpiga kura

    jana nimeenda kituo nilichojiandikisha kilichopo tegeta ila nikaambiwa niende salasala ofisi ya mtendaji iloyopo zaidi ya 5km kutoka hapo kituoni hii kitu imenishtua sana nahisi kuna namna nyuma ya pazia, tunaitaka tume ya uchagizi itoe tamko ni wapi mtu anapaswa kuhakiki kadi yake?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa taarifa za mpiga kura

    jana nimeenda tegeta kituo nilichojiandikishia ila nikaambiwa kituo cha kuhakiki kipo salasala kilichopo zaidi ya km 5 toka nilipojiandikishia, hii imenifanya nihisi kuna namna nyuma ya pazia, kwanini isiwe kituoni nilipojiandikishia?
Back
Top Bottom