Recent content by dan oseko

  1. dan oseko

    Najuta kupoteza muda wangu kuangalia Ujinga uliopo Kwenye series ya money heist

    watu na kujifanya hebu toa yako bwana mtaalam alafu unapoongelea season4 eti profesor hajatumi ujuzi wowote lazima uelewe hiyo ilikuwa ni idea ya berlin ambae ni marehemu ndio maana unaiona hiyo misukosuko yote bwana mtaalam
  2. dan oseko

    Aslay ana tatizo gani, mbona simuelewi?

    Nimeshangaa kusikia eti amekuwa akitoa ngoma nahisi ameanza kushuka amepotea ata midomoni mwa watu
  3. dan oseko

    Wapenzi wa SAD song or EMOTIONAL songs tukutane hapa

    madonna_power of goodbye shayne word_damaged lucky dube_release me celine dion_i love you marioo_inatosha jordin spark_don't take it to your head westlife_puzzle of my heart cecile_run michael learns_love will never lie juliana kanyamozi_woman foreigner_i wanna know what love is lucky...
  4. dan oseko

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Africa ndio sisi na mimi nimeibuka kuwa mshindi makofi kwangu
  5. dan oseko

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    kisasa ndio mpango mzima
  6. dan oseko

    Simulizi: Sihusiki

    bahati mbaya sana kwangu sitapata kuimaliza sababu niko nje ya tz
  7. dan oseko

    Morgan Heritage...

    nahisi makali yao yameisha
  8. dan oseko

    Simulizi: Sihusiki

    nina mashaka na uyu wakili wa jackson isiwe ameshanunuliwa
  9. dan oseko

    Simulizi: Sihusiki

    woooii mambo mbaya kwa jackson
  10. dan oseko

    Baada ya kuvisha pete ya uchumba, Chidy Design amkana Wolper

    umeongea kwa uchungu sana umekuwa ukimzimia au vipi?
  11. dan oseko

    Sauti Sol wamekubali kujiunga Freemasons?

    nakuombea upate kazi ya kufanya uwache kuchunguza maisha ya watu usiwe mtu wa kuhukumu watu kwa yale unaoyaona kuwa mtoto wa kiume bana
  12. dan oseko

    Taja muimbaji ambaye hajui ila nyota, bahati vinambeba

    mkenya mwenzangu willy paul
  13. dan oseko

    Kwa wapenzi wa love story movies

    real love ya ramsey nouah na stella damacus japo ni ya kitambo kidogo lakini ni movie moja ya hisia sana
  14. dan oseko

    Weka link ya story Nzuri iliyokusisimua ulowahi kusoma humu JF ili na wengine tufaidi

    tutarudi na roho zetu ya ben mtobwa miss tanzania ya patrick ck anga la washenzi nitakupata tu mke wa raisi peniela hizo ndio zangu bora
  15. dan oseko

    Hivi msanii Mejja yupo wapi siku hizi?

    siku hizi ako kwa kikundi kinachoitwa the kansoul
Back
Top Bottom