Hakuna ajaby kwa mwanaume kamili anaejihusisha na uchungaji kutongoza warembo,Hio mchungaji ni tittle tu ila behaviour ya uanaume haitoki ngo ,Harafu kuna mahala umesema ww sio cheap? kiaje ukubali offer ya kulala Lodge ya 40K, Nasema ivi hakuna lady anajielewa ni swala tu la kutengeneza...
Nchi yangu bna Hvi kuna pahara pameandikwa joho lilikuwa designed kwa ajili ya wanachuo? Anapiga marufuku je Uvaaji wa vazi hilo ilikuwa utamaduni wetu? au tumeiga tu kwa Mataifa mengine..Hii imenisikitisha mno watanzania bna Yani kelele mingi kweli Sasa bado hao wanaongangani tittle kama...
Solar yetu ni Closed system ni ngumu kitu kama nyota kupita na kuivuruga Jua lina mass na gravity kubwa sana ya kulinda sayari zinazoli orbit japo ipo midude ya nyota zaidi ya nyota yetu jua ila elewa angani kila kitu kipo ktk motion na kina orbit kitu fulani chenye gravity kubwa ,Incase ya...
Si lazima ukiwa na main switch ya njia Kumi au ishirini utumie zote unaweza tumia hata njia moja tu na zingine kuziacha idle for future extension au incase hio moja imeharabika basi unahamisha tu line
Maji(falls) maporomoko hutengeneza Mechanical energy ambayo hio mevh energy tunaitransform kupata umeme Maji huponoromoka ktk height kali na hukutana na turbines ambayo hupigwabna maporomoko na kupelekea KuZungushwa kwa turbine kumbuka tunahitaji vitu vitatu ili kufua umeme Motion(Mzunguko)...
Ni economy facts ndio zinatupelekea tupendelee kusafirisha AC kuliko Dc Technical Ac inatabia moja ambayo ndio hutufanya tupendelee kuisafirisha over distance tabia hii ni kuwa ac unaweza kupandisha volts by using transformer hapo ukikuza volts current itapungua na kupelekea Kuhitaji waya wenye...
N.Tesla amefanya amazing sana ktk field Kilichopelekea kutomuona vitabuni ni kuwa hakuwa mwingereza waka muamerika ndio maana amekuwa hidden ,Faraday ni English physcist amefanya mengi ila kwa Tesla bado hamfikii
Mkuu ili Ule waya uwe na ufanisi yani efficieny basi tunahitaji hapo tulipoufukia pawe na hali ya unyevu nyevu muda wote ili tupate earth point safi kazi ya mkaa ni kuvuta maji au kufanyq pawepo na unyevu nyevu muda wote huwa tunaweka mkaa na chumvi mara nyingi ili kuhakikisha unyevunyevu...
Umeme ni mtiririko wa Electrons Kama umesoma vizuri structure of matter utagundua kuwa electrons ni iko nje na orbit Nuclear ambapo nuclear ina Protons and Neutrons, Sasa kila Material yana external structure ya Electrons na Orbit hizi tunaita Valance orbit ambapo ndio hudetermine nature na sifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.