Recent content by DAN LOKOMOTIVE

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mpanda vs Singida wapi pazuri kuishi na kutoboa haraka kimaisha?

    maisha hayana kutoboa haraka tulia plan execute then rudia...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ten commandments of crack by b.i.g

    Wakuu wale wadau wa hiphop hebu andika amri moja hapa kutoka katika hii ngoma na uielezee unavyoweza kuitumia katika maisha yetu ya kila siku.Najua jamaa aliimba kuhusu 'Crack' ila hizi ni sheria zinazofanya kazi katika maisha ya biashara.Yangu ni hii. Dont get high on youre own supply. Hii...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

    Lakini tuangalie hivi wanaume tuliopo tukisema kabisa tuwe na mwanake mmoja kuna wanawake watakufa bikra au bila watoto
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nimeamini upweke unatesa na unaweza hata kuua

    Wanawake ndivyo walivoumbwa lakini sisi wanaume sijawahi kusikia mtu anasema upweke
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiimani

    Jamani wanajamvi kuna jamaa alinialika kwenye group niseme la maombi amenialika siku nyingi niende leo nikaamua kwenda katika mambo aliyonihubiiria ni kama yafuatayo: 1.Ulazimishwaji wa kuwa wakristo wakipagani. Jamaa amenieleza kwamba kulingana na ufunuo kwamba Marekani wakiungana na kanisa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa: Leo nihubiriwa na member wa S.DA kuhusu ufunuo

    Jamani wanajamvi kuna jamaa alinialika kwenye group niseme la maombi amenialika siku nyingi niende leo nikaamua kwenda katika mambo aliyonihubiiria ni kama yafuatayo: 1.Ulazimishwaji wa kuwa wakristo wakipagani. Jamaa amenieleza kwamba kulingana na ufunuo kwamba Marekani wakiungana na kanisa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania My Best 5 Comedians

    Kwangu mimi. 1,Dave Chapelle 2.Katy Williams 3.Chris rock 4.Kevin Hart
  8. D

    JamiiForums Tanzania Inauma lakini ndio maisha unakubaliana nayo

    Iko hivi kipindi nasoma miaka hiyo nilikua na jamaa yangu mmoja tulikua majirani na wazazi wetu walikua marafiki sana. Tulikua tunasoma darasa moja kuanzai darasa la tatu hadi form four. Kiukweli huyu jamaa alikua anauwezo sana darasani hata nipambane vipi nikijtahidi nikipata hamsini basi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kujiondoa Kwa Marekani kwenye WHO ni sawa na kukataa kuwa Kaka mkubwa Wa Dunia. Trump hafai kuwa kiongozi wa USA

    haya sasa mlikua nasema urusi mara china sasa mbona mna haha
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ila wakuu tuwe wakweli, maudhui mtandaoni yameharibika, yani ni makalio juu ya makalio kila kukicha. Matusi wazi wazi bila mafumbo

    Kitu ambaacho kinashangaza unakuta wao wenyewe wanajirekodi...hapa mtaani kuna mtoto mmoja aligombana na mwenzie sasa huyo dogo kumbe alikua na video za mama yake akicheza akitingisha makalio huyo dogo kachukua zile video kazituma kwenye group la marafiki zao....daah nimevaa viatu vya dogo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

    He Huwa sina azoea ya kuwasema wana katika haya ambo....ila huyu fala alituaibisha sana
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye kipato cha chini wanaongoza kuzaa watoto wengi?

    wana falsafa moja kwamba mtoto akizaliwa automatically mambo yanakaa sawa
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    Ni kitu kigumu kwa mwanaume yeyote anayetafuta 'MKE' hata kama ningekua mimi kwa sababu kwa mwanaume me ni kitu ambacho anakiheshimu sana. Kwa ushauri wangu ulishakosea jisamehe then keep moving unaweza pata ambaye atakuelew
Back
Top Bottom