Recent content by Damma

  1. D

    mchumba wangu na demu wake wa zamani

    nawashukuruni wan jf ushauri wenu ni sahihi kweli niliona mzaha lakini sinema inaendelea, niliyoipata leo kwa mama mkwe bila kujua anaongea na mimi nikali, yele m,dada kumbe anajulikana hd kwa mkwe kanishtaki mara cm haloo we nani mmmh nkashangaa nanasema mie fulani nasikia suti ya mamake...
  2. D

    mchumba wangu na demu wake wa zamani

    Chamno nijinsi alivyomsave kwenye simu zake, moja kaandika jina kamili, kwingine anakojua nitaiona kwa urahisi kamsave mgosi moro, duh!!
  3. D

    Gari iliyomgonga trafiki yakamatwa

    mali ya mchungaji wa kanisa gani?
  4. D

    mchumba wangu na demu wake wa zamani

    anaponiacha hoi ni pale nilipomwambia ampigie aongee nae nikisikia akagoma.
  5. D

    mchumba wangu na demu wake wa zamani

    thank u, nimekusoma, akili kumkichwa sasa mana najikuta nakosa raha siku nzima, maamuzi magumu kweli yanatakiwa.
  6. D

    mchumba wangu na demu wake wa zamani

    Hahahahaa, mahawara hawaachani, so na mimi wangu wa zamani niendelee nae?
  7. D

    mchumba wangu na demu wake wa zamani

    Ishu nikwamba yule dada yuko tayari asiolewe fine mana anawatoto wake wawili labda aliachwa mume au mume alikufa cjui, awe hawara tuu sii ishu, hanganganii kuolewa, lkn ss mimi hiyo rroho sina, naona solution nimwache tuu labda
  8. D

    mchumba wangu na demu wake wa zamani

    Hello wana Jr, nisaidieni kwa hili, naumia sana bado mchumba wangu ana mawasiliano na mwanamke wake wa wazamani, nilimpigia sim yule dada na kumhoji kijifanya sio mimi mlengwa ila mlengwa analalamika, dada yule akasema kwani yeye hana hiana aoe yeye atakuwa wa pembeni. kwanza mie matumizi...
  9. D

    Utafanyaje kama mmeo au mkeo hana uwezo wa kuzaa

    Kwakweli swala la mtoto ni majaliwa ukipata sawa ukikosa sawa, hipaswi kuteteresha ndoa, kunawengine wanapata ujauzito unatoka au mtoto bahati mbaya, nikuvumilia tuu hadi hapo Mungu atakapo wapa, utakuta mwingine amebahatika kupata mtoto kabla ya kuoa, akija kuoa na akakosa bado anamnyanyasa...
Back
Top Bottom