Kumekuwepo na tabia ya kuita majina ya watu kwa mkato.Kwa mfano Happiness huitwa Happy,Veronica huitwa Vero,
Abdalla huitwa Dulla,Ibrahim huitwa Imu.Jee majina haya MKUNDUMBO,MAMBOYA utayaitaje kwa mkato?
Mhhmhh no coments over
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums