mchumba wangu na demu wake wa zamani

mchumba wangu na demu wake wa zamani

Damma

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
11
Reaction score
0
Hello wana Jr, nisaidieni kwa hili, naumia sana bado mchumba wangu ana mawasiliano na mwanamke wake wa wazamani,

nilimpigia sim yule dada na kumhoji kijifanya sio mimi mlengwa ila mlengwa analalamika, dada yule akasema kwani yeye hana hiana aoe yeye atakuwa wa pembeni. kwanza mie matumizi napata ninashida gani? na kweli nilikamata msg za mpesa.

na bado anaendelea kuwasiliana, huyu mchumba anasema ati atamuacha taratibu, kweli hapo nifanyeje?
 
Ngoja akija kumpa ujauzito ndo utatia akili!
 
kha!!! wewe nae ebu ionehuruma nafsi yako. njoo huku kwangu nikupe mapenzi ya kweli. mahawara hawaachani
 
Eeehh hayo mabwaku,hujuonei huruma?anakusumbua hvyo kisa?ehh eti atamuacha taratibu mmh una jiwe na si moyo
 
Kwa nini usisubiri uolewe kwanza?
ili uwe na haki ya kulalamika?
so far now wote ni wachumba,mna haki sawa
labda hajafanya uamuzi a settle na yupi..
 
wee endelea kulalamika tu mwenzio anatengeneza mambo tu utakuja kuachwa hapo ...tafuta maubunifu
 
Kwa nini usisubiri uolewe kwanza?
ili uwe na haki ya kulalamika?
so far now wote ni wachumba,mna haki sawa
labda hajafanya uamuzi a settle na yupi..

Kama makubaliano yao ni kuwa na monogamous relationship basi huyu mdada ana reasonable expectation kwamba huyo mwenza wake hana mwingine zaidi ya yeye.

Sasa anapoona kwamba kuna mwingine yupo kwenye picha ni haki yake kuhoji na kulalamika na hata kuchukua hatua.
 
Kwa nini usisubiri uolewe kwanza?
ili uwe na haki ya kulalamika?
so far now wote ni wachumba,mna haki sawa
labda hajafanya uamuzi a settle na yupi..

Ishu nikwamba yule dada yuko tayari asiolewe fine mana anawatoto wake wawili labda aliachwa mume au mume alikufa cjui, awe hawara tuu sii ishu, hanganganii kuolewa, lkn ss mimi hiyo rroho sina, naona solution nimwache tuu labda
 
kha!!! wewe nae ebu
ionehuruma nafsi yako. njoo huku kwangu nikupe mapenzi ya kweli.
mahawara hawaachani

Hahahahaa, mahawara hawaachani, so na mimi wangu wa zamani niendelee nae?
 
Atamwacha polepole, maana wakiachwa ghafla hawachelewi kunywa sumu .
Mh but take action, kuhakikisha unakomesha hiyo raelationship mapemaaa!
 
Ishu nikwamba yule dada yuko tayari asiolewe fine mana anawatoto wake wawili labda aliachwa mume au mume alikufa cjui, awe hawara tuu sii ishu, hanganganii kuolewa, lkn ss mimi hiyo rroho sina, naona solution nimwache tuu labda
mbona swala ni rahisi tu,
hamjaoana achana naye....
na huyo yupo tayari kuwa wa pembeni kwa hiyo ujue unaye huyo mpaka mwisho....
fanya maamuzi magumu
 
Hello wana Jr, nisaidieni kwa hili, naumia sana bado mchumba wangu ana mawasiliano na mwanamke wake wa wazamani,

nilimpigia sim yule dada na kumhoji kijifanya sio mimi mlengwa ila mlengwa analalamika, dada yule akasema kwani yeye hana hiana aoe yeye atakuwa wa pembeni. kwanza mie matumizi napata ninashida gani? na kweli nilikamata msg za mpesa.

na bado anaendelea kuwasiliana, huyu mchumba anasema ati atamuacha taratibu, kweli hapo nifanyeje?
Shosti ebu wacha kushusha hadhi ya mwanamke,kwanini ujishushe hadhi kiasi hicho? yani unampiga cm mwanamke mwenzio na una moyo waku yasikia yote hayo kisa chake nini? huyo bwana anazo mbili aumoja kama wanaume wenzie?
kua na mpaka usiwe mtumwa wa mapenzi kiasi hicho na huyo bwana anakupenda labda lakini sio kama anavyo mpenda mwezio sababu anagekupenda kweli wala hata hizo story za huypo anaesema zilipendwa wake zisingekuwepo..ebu amka kama umelala..au kama unashikalia ule usemi Anae penda kikweli hachoki kuvumia,habadilishi kauli hata ukimchukia...
 
Shosti ebu wacha kushusha
hadhi ya mwanamke,kwanini ujishushe hadhi kiasi hicho? yani unampiga cm
mwanamke mwenzio na una moyo waku yasikia yote hayo kisa chake nini?
huyo bwana anazo mbili aumoja kama wanaume wenzie?
kua na mpaka usiwe mtumwa wa mapenzi kiasi hicho na huyo bwana
anakupenda labda lakini sio kama anavyo mpenda mwezio sababu
anagekupenda kweli wala hata hizo story za huypo anaesema zilipendwa
wake zisingekuwepo..ebu amka kama umelala..au kama unashikalia ule usemi
Anae penda kikweli hachoki kuvumia,habadilishi kauli hata
ukimchukia...

thank u, nimekusoma, akili kumkichwa sasa mana najikuta nakosa raha siku nzima, maamuzi magumu kweli yanatakiwa.
 
Hello wana Jr, nisaidieni kwa hili, naumia sana bado mchumba wangu ana mawasiliano na mwanamke wake wa wazamani,

nilimpigia sim yule dada na kumhoji kijifanya sio mimi mlengwa ila mlengwa analalamika, dada yule akasema kwani yeye hana hiana aoe yeye atakuwa wa pembeni. kwanza mie matumizi napata ninashida gani? na kweli nilikamata msg za mpesa.

na bado anaendelea kuwasiliana, huyu mchumba anasema ati atamuacha taratibu, kweli hapo nifanyeje?

Dada huyo si wako endelea kumuomba Mungu atakupa Mume sahihi tena shukuru imejionyesha mapema huyo angekuja kukusumbua hapo baadae.Kulazimisha ndiyo kunasababisha watu wanajuta baadae.Ndoa si maigizo hebu fikiria unamkabidhi mtu moyo wako kwa maisha yako yote.Endelea kupiga magoti Muombe Mungu akuletee Mume bora na ni imani yangu kama utafanya hivyo utampata mtakayeendana naye.
 
Eeehh hayo mabwaku,hujuonei
huruma?anakusumbua hvyo kisa?ehh eti atamuacha taratibu mmh una jiwe na
si moyo

anaponiacha hoi ni pale nilipomwambia ampigie aongee nae nikisikia akagoma.
 
kha!!! wewe nae ebu ionehuruma nafsi yako. njoo huku kwangu nikupe mapenzi ya kweli. mahawara hawaachani
watu wengine bwana, we si ndo unabomoa kabisa, unataka mchumba aje kwenye thread na story nyingine!
 
Eeehh hayo mabwaku,hujuonei
huruma?anakusumbua hvyo kisa?ehh eti atamuacha taratibu mmh una jiwe na
si moyo

Chamno nijinsi alivyomsave kwenye simu zake, moja kaandika jina kamili, kwingine anakojua nitaiona kwa urahisi kamsave mgosi moro, duh!!
 
Back
Top Bottom