Jeshini watu wanaishi kwa bahati. mtu unajongo unaenda vichakani mbali mfano tabora kuna simba nyoka nk. siku moja nilijongo tukapoteana na wenzangu mahali tulipokuwa tunachoma mahindi nikaona nyoka mkubwa sana. ilibidi niache mahindi na kurudi jeshini. mbaya zaidi askari akifariki mnatangaziwa...
mimi nimepita hapo mwaka 1985, mlangoni kulikuwa na kabamizi, kairon, B- coy kulikuwa na kimbunga , parahara na wengine. Chakula mpaka unyakue mara tatu. afande aangalie na namba ya kiatu. Jeshi linataka nidahamu na akili nyingi.
Dawa ya ugonjwa huo ni hiyo hiyo na unaambukiza kwa hewa kwani mtoto wangu aliugua na wengine wakafuata ikiwa ni pamoja na mimi. kuna maumivu makali hasa wakati wa kula au kunywa lakini akipata ampliclox hali hiyo huisha.
mpeleke hospitali kwani ni ugonjwa unaojulikana
Polisi wana usimamizi mbovu na hiyo imechangia kujisahau. Kawe polisi jamii wameokota silaha na kuripoti kituoni hakuna aliyejali. silaha ikachukuliwa na polisi wa oystabay ikaenda kwa mkuu wa kanda lakini mkuu wa kituo kawe hajui. Kuna polisi kawe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.