Mambo ya msingi kuzingatia
1: Huduma za Kijamii
2: Urahisi wa kufikika
3: Shuguli zako za kiuchumi na kiwango cha kipato
4: Mandhari
5: Mipango endelevu ya Serikali kwa eneo hisika
5: Fursa zilizopo na zinazotarajiwa kuwepo
Uchaguzi wa wapi sahihi unabaki kwako kulingana na baadhi ya matakwa...
Kama unaweza kusamehe samehe halafu piga kimya kama anajitambua atajirudi akila buyu inakua umesamehe tena. Ni njia Bora ya kuwapunguza watu wasio sahihi katika circle ya watu wa karibu.
Kama ni Mwanamke ilitunguliwa kabla hujaolewa na now ni single mother ndo mana unaleta makasiriko na kama ni Mwanaume basi ulioa mwenye tundu kama la Ozone Layer mkuu
Muda mwingi unatumika kumfundisha mwanafunzi ambaye anashindwa kujiajiri baada ya hapo it's a shame siyo kwa vijana bali kwa Taifa kutokana na kushindwa kuwanyanyua hao vijana kwa namna nyingine na kubaki na porojo tu za ruzuku hewa kwa vijana.
Habari wakuu, Natumai kila mmoja yuko njema kwenye majukumu yake.
Leo nimeona niwasogezee wanajf hii fursa ambayo inatokana na kasi ya maendeleo ya sayansi na teknolojia na si nyingine ni hii Smart Retail.
Smart Retail bwana hii ni platform ambayo inakuwezesha wewe kuinvest katika uuzaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.