Recent content by dalushi madutu

  1. D

    Siri ya vuja posho bunge la katiba,Mwigulu azuia hazina kutoa posho z ya laki 7,fao la jumla ml 5

    Biva Nchemba piga kazi hao wahafidhina wanaokuchukulia poa wakukubali japo sie tunajua kazi yako ni nzuri sana
  2. D

    CHADEMA acheni vitisho, tangulieni kwa wananchi tutakutana huko. Nape

    Safi. Nape nadhani umewajibu short and clear
  3. D

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Kheeee! Kjmbe watu huwa wanaenda kuangalia chopa tu hafu wana lao kichwani!
  4. D

    Picha: Binti wa mkuu Heaven on Earth......so cute!!!

    Mkuu make sure unanunua kamguu wa kuku au figa mbwa wakariiii
  5. D

    My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

    mkuu Pascal chukua TANO - kama ana masikio na asikie na akawasimulie na wenzake!! Kweli wakubwa akae kimya huyo mzee
  6. D

    Wadau Sicle Cell inaniangamizia mtoto wangu msaada wa haraka jaman

    Mkubwa ni mifupa tu ndo inasumbua? Je anavimba mikono? Je anapata homa mara kwa mara? Kuna mabadiliko yoyote juu ya fuvu la kichwa chake? Anapata maumivu makali juu ya viuongo vyake? Kama ndio mpeleke hospitali ya wilwya au mkoa ili afanyiwe vipimo kudhibotisha kama ni sickle cell au ni leukemia,
  7. D

    Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

    Ivi watu hamuwezi kuchangia pasipo kutukana?
  8. D

    Sugu: Usalama wa Taifa wanatoa siri kwetu!

    Wanapaswa kuelimishwa
  9. D

    Ikulu yaitisha mkutano na wanahabari Jumapili - Jan 19, 2014

    Mkuu nn kinaendelea sahv? Tujuze
  10. D

    Baraza jipya la Mawaziri kutangazwa hivi punde

    Hiyo thread ni ya ukweli mkubwa?
  11. D

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    Yes mkuu umesema kweli mdee atajijengea heshima kuu sana asiposema chochote juu ya hili swala,nampa big up sana
Back
Top Bottom