Recent content by dalunda

  1. D

    Tanzania wanataka kununua umeme Ethiopia

    naomba kuchangia kidogo, kuhusu vyanzo vya maji kwa ajili ya kuzalisha umeme, ethiopia wametuzidi sana sana nawaeleza, ni nchi ya pili kwa africa kuwa na chanzo kikubwa cha maji kuzalisha umeme, ya kwanza ni drc kwa kabila, hii nafikiri ni duniani inaongoza, sema ndio hawajaweza ku invest. Drc...
  2. D

    CHADEMA UK Wamchangia Mjane Wa DAUDI Mwangosi Aliyeuawa Nyololo shs 1,000,000

    sasa wewe hizi rambirambi kwanza si za kusomesha, apewe mama cash kwa ajili ya maisha, tuko tayari kuchangia zaidi na zaidi kwa ajili ya kusomesha,wakina Slaa na Mwandosya wameahidi kusomesha watoto kutoka kwenye mfuko wao hao wanachama wa UK wametoa rambirambi sasa uache kupangia matumizi...
  3. D

    Prof. Sospeter Muhongo's latest CV

    je mheshimiwa mbunge aliangushwa ubunge kule igunga cv yake ikoje?? Maana alikuwa kamishna wa madini wizara ya nishati na madini akaacha taaluma kaingia siasa, sasa kaisha kisiasa maana kutolewa na mahakama si mbunge na serikali hana chake tenaaaaaaaaaaaaaaaaa,
  4. D

    Polisi: Tuko tayari kumlinda Ulimboka!

    sikiliza bro, kubenea alikuja na evidence kwa kuwataja zaidi usalama wa taifa waliohusika na tukio zima, mpaka wakalifungia gazeti lake, na watu walifukuzwa kazi kule tigo mtu kibao walipigwa chini, wahusika wakuu ni usalama wa taifa, unless wale wengineo wawe ni polisi, polisi wanahusishwa na...
  5. D

    Prof. Muhongo anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania!

    sikilizeni ninyi wadau, kwa jinsi navyomjua prof muhongo ni hivyohivyo habadiliki hata fisadi wa namna gani atokee, maana huyu jamaa ni jemedari si kama pinda mtoto wa mkulima anaendeshwa hata maswi naye ni kamanda, yaani hana mchezo wa pwagu na pwaguzi,,, mafisadi hawataweza kufua dafu kamwe...
  6. D

    Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

    duh sasa itakuwa ni issue maana hatutapata madaktari wa ku-replace nafasi za walioondolewa, Unafahamu kama Serikali ilifikiri kupata madaktari kutoka nje ni kama kununua karanga, kwa habari kutoka interfax zinasema kama Serikali yetu iliwasiliana na Cuba ili waweze kupata madaktari, jibu...
  7. D

    Afya ya Dr. Ulimboka Yaimarika, Kutua Nchini August

    huyo kwenye picha ndiye ACP Msangi kwa wasiomjua kwenye Picha, ni kijana wa Said Mwema
  8. D

    Afya ya Dr. Ulimboka Yaimarika, Kutua Nchini August

    nimeattach picha ya ACP msangi
  9. D

    Ninavyomjua Hemedi Msangi

    huyu ni mwislamu wala hali nguru na kusali sala 5 hana hayo mambo, ni sawa wangemwita mpagani kama nape nnauye,,, ndio maana roho yake haina huruma
  10. D

    Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

    Mhando atashindwa kwenye hili sakata,, nakuambia ya kuwa kuna ushahidi ambao upo kwa jinsi anavyotuhumiwa, na ni mwizi wa kutisha. Mimi nawashangaa mnasema ooh eti anaonewa, si kweli kabisa, huyu Mhando MD wa tanesco amekuwa na nyodo sana, ni kweli amekuwa anafanya sivyo, na anakaidi amri ya...
  11. D

    Ninavyomjua Hemedi Msangi

    Huyu jamaa ni kijana wa miaka kama 42, alipitia jeshini Ruvu miaka ya 1989. Baada ya kumaliza hapo alijiunga na jeshi la polisi, kwenye Jeshi la polisi kapigiwa sana chapuo na marafiki wa baba yake ambaye ni marehemu Zahoro Msangi, ambaye naye alifikia Rank ya Senior Assistant Commissioner...
  12. D

    Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

    Sikiliza wewe mchangiaji hoja, mafuta yanayozungumziwa kwenye kuendesha mitambo ya uzalishaji umeme ni HFO-Heavy Fuel Oil, na ni sawa bei yake kuwa Tsh. 1500 kwa lita, kwa kuwa hayalipii kodi, yakilipa kodi wewe utaweza kununua umeme?? Hata haya mafuta ya petrol bei yake kuwa Tsh. 2170 huko...
Back
Top Bottom