Prof. Muhongo anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Muhongo anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jungumawe, Jul 28, 2012.

 1. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Leo nimefarijika sana kupata wziri Kama Prof Muhongo ambaye ni shujaa, kazi zake zinaonekana kabisa hana ubia na mafisadi Napendekeza liwalo na liwe apigwe chini, Prof. Muhongo aendeshe jahazi linalozama TUJADILI HOJA HII
   
 2. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  sasa muhongo akiwa waziri mkuu nani atakuwa waziri wa nishati na madini?
   
 3. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Na nani? Kuna mtu wa kuwaondoa viongozi wa ccm madarakani kupitia uongozi wa bunge uliopo leo? Fikiri tena, tafakari
   
 4. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  tumeteseka mno na tanesco Prof abaki kulekule .tunaomba na kwenye madini afumue hiyo mikataba wazungu wanatunyonya mno
   
 5. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Jungumawe

  Mkuu wangu sheria haimruhusu mbunge wa kuteuliwa au viti maalumu kushika wadhifa wa waziri mkuu labda asubiri katiba mpya.

  Bado wizara ya maliasili na utalii Mungu akijalia tukampata waziri jembe kama Prof Muhongo nakuhakikishia fedha zinazotafunwa Ngorongoro ukizisikia lazima uonane na Dr wa magonjwa ya moyo.


   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ndugu zangu hawa wanasiasa huwa hawatabiriki.
  Watu walikuwa na imani sana na 'mtoto wa mkulima' Pinda lakini mwisho wa siku amekuwa hopeless.
   
 7. Wilawela

  Wilawela Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Waziri mkuu wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba lazima awe mbunge wa Jimbo ,mhongo hana,binafsi sina shaka na muhongo wala maswi siku moja nikiwa naye kwenye kikao mahali fulani tulikuwa tunamteta mkuu mmoja kama wajube Prof .muhongo alimpasukia na kusema "I'm strong enough to withstand all types of waves ". Haogopi mtu.
   
 8. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ameonyesha tofauti ya Wasomi na Wanasiasa.
  Katiba haimruhusu.. Ningekuwa mimi yule Liwalo na liwe ningempa udiwani
   
 9. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Si wanabadilishana na liwalo na liwe!
   
 10. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  ni kweli mkulima alikuwa jembe.Jk alipoona anataka kufunikwa ikabidi amshushe.Hata prof aangalie maana jk hataki kuwa outsmarted angalia akina magufuli wanapotaka kuwa juu,jk anawatulza kama kitenesi
   
 11. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  Mwanzo wake ni mzuri lakini je kiongozi wa nchi ataendana na kukubaliana na uadilifu wa Huyu waziri? hili litawezenana tu pale kiongozi wa nchi nae atakuwa mwadilifu.
   
 12. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Pole! Hizi ni politiks bwana! Tuombe uzima, utashangaa mwenyewe yatakayotokea baadae. Unakumbuka Ngeleja ktk Bunge la Bajeti lililopita? Jinsi alivyochambua Bunge letu kama karanga na kupigiwa makofi kwa bajeti nzuri? Niambie baadae kilichotokea!
   
 13. K

  K.Msese JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,470
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Liwalo na Liwe, kuna wakati alitaka baraza la mawaziri livunjwe akapata sana upinzani hadi kufikia kutaka kujiuzulu, namaanisha, unaweza kuwa waziri mkuu mzuri sana lakini kama maamuzi yako lazima mkuu ayaidhinishe huwezi fanya kitu. Kwahiyo kuna wakati (liwalo na liwe) anajikuta hana chakufanya kama mkuu wake haendani na uamuzi wake.

  Nakusudia kusema kuwa, watu wa aina ya Prof MUHONGO wanafaa kuwa RAIS wa nchi, na ikitokea akiwa Rais, lazima tanzania iwe mahali pazuri pa kuishi kuliko sehemu yeyote ile duniani.

  Rais; Prof MUHONGO
  PM; Magufuli
  Katibu Mkuu Kiongozi; Maswi

  Kibanga Msese
   
 14. kisururu

  kisururu JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Well said kibogo,hakika mzee wamagogoni huwa hapendi kiongozi chini yake amu out smart,utasikia anaabiwa na raisi aache ubabe kama ilivyomtokea Magufuli
   
 15. kisururu

  kisururu JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  One thing I do like about prof muhonga is that,he is not a politician and I think him being an accademician will take this ministry to a better level if not being enterfered by magogoni palace
   
 16. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  hivi ngeleja na malima walikuwa hawayaoni haya?? yaliyoibuliwa na prof. muhongo
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  just matther of time ..atafanana na wenzake soon
   
 18. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Mkuu K.Msese hapo umemsahau jembe la ukweli Ngongo waziri wa fedha ha ha ha ha.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. d

  dalunda Member

  #19
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  sikilizeni ninyi wadau, kwa jinsi navyomjua prof muhongo ni hivyohivyo habadiliki hata fisadi wa namna gani atokee, maana huyu jamaa ni jemedari si kama pinda mtoto wa mkulima anaendeshwa

  hata maswi naye ni kamanda, yaani hana mchezo wa pwagu na pwaguzi,,, mafisadi hawataweza kufua dafu kamwe, tuwalinde hawa viongozi wetu mambo yaende mnama
   
 20. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Prof ameamua kutumia akili yake tofauti na wenzake wengi walioweka zao mfukoni na kusukumwa na maslahi binafsi, makundi na ya chama.
   
Loading...