Recent content by Dakile

  1. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

    mbegu ya kishumundu pure!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za mahakimu

    Da,mie hoi kusubr hapa! Ktaa pagumu!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Afia hospitali ya wilaya baada ya umeme kukatika akifanyiwa oparation

    unafkr wafanyakazi wa migodi wote wanalipwa vzr? Wengne majina tu ,tabupalepale! Hata hvo hocp ya Geita ni wapumbavu sana,hata sirinji ujinunulie! Rushwa zmewazd,ndo mana nesi wao amepandshwa kzmban na PCCB kwa kupokea rushwa ya elfu moja!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya secretary mwanza

    Omba mkoa mpya wa geita wametoa kazi! Tembelea website yao!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi..

    Dah,mie nina masterz cjapata kazi! Anyway try ths peleka cv na barua yako makao makuu ya benk zote unazozijua!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hebu ona mwenzako nilivyoanza kujiajiri!

    kajitoleen hata lawfirms,mpate uzoefu! Km hamtak kuendelea na carrier endeleen na matikitimaji! HATA LAWSCHOOL hamjasoma mnataka ajira,limen matikitimaji huko kwenu!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi za afisa mkopo

    mkuu mimi nina degree na postgraduate diploma za sheria,cjapata kazi! Nipen mchongo jamani,
  8. D

    JamiiForums Tanzania CARE Tanzania Vacancy

    mpigie huyu jamaa akuambie 0753014177
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za mahakimu

    Wakuu niliambiwa kazi za mahakimu zimetangazwa! Mbona sijaona? Anaejua zaidi atupe taarifa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mh. Mgufuli na Mh. Halima Mdee sikieni kilio cha wakaazi wa Makongo Juu

    SI MMEWEKEWA LAMI HADI DARAJANI? Wambie akina Yona,pro.mkandara,pro.tibaijuka,pro.rutinwa na wengne wadosi wachange hela waweke mkandaras! Hzo pesa zote wanazfcha za nin?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Swali; kitendo cha itv kurusha picha za watu walionasa kwenye gari ni halali kisheria?

    hakuna defamation ya namna hii,umesoma open nin? POINT.WANATAKIWA KTOA TAHADHARI kuepusha nervous shock kwa watazamaji! Wasipofanya hvo u sue them for NEGLIGENCE! Shwain.
  12. D

    JamiiForums Tanzania naweza kumshitaki wapi mkuu wa wilaya

    hahaha -xparte ndo mahakama gani? Umenchekesha sana!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ajali wami darajani

    R.I.P km israel kachukua!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Afungwa kwa kumnyonya ulimi mwanafunzi

    ni jukumu la mahakama kama umemtia mtuhumiwa hatiani kabla hajajitetea kuomba huruma ya mahakama kabla ya kutamkwa adhabu(mitigating factors) na km mshtakiwa akipewa adhabu bla kupewa nafasi ya kuomba huruma ya mahakama basi anaweza kukata rufaa dhidi ya adhabu kuwa adhabu ilitolewa bila kufuata...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Kiinimacho cha Muungano

    si wawaache waende waanzshe kikundi cha wapganaj cha uamusho! Wanataka kufuga ..maj..n...i...vizuri!
Back
Top Bottom