Hebu ona mwenzako nilivyoanza kujiajiri!

Hebu ona mwenzako nilivyoanza kujiajiri!

good try, address some appropriate strategies towards success so that people can learn much on how to initiate such kind of self employment. Thanks for your kind advice mwanasheria.
 
Umeongea Ujinga saana. Nadhni hujui maana ya Neno UBISHOO. Hakuna ajira inaitwa Ubishoo . Kama una Mtoto wako au ndugu yako Embu Jaribu Kumpa Nguvu ya kufanya Ubishoo ili afanikiwe. Acha Kuongea Ujinga ..

Ukirusha jiwe gizani ukasikia, uwiiii..... ujue......
 
heri yako!!! sie kwetu ardhi yetu imepekwa mwekezaji..........!!!!!!!
 
law school umeweza kwenda lakini???????umefaulu huko na kuapishwa kama wenzako?mafanikio kama mafanikio ni mfano wa kuiga,lakini tu kwa namna uliyoiwasilisha ni si kwa namna ya watu wajifunze kwako,bali ni ya kuwatambia watu wa kada flani,je na mi nikisema hukuajiliwa coz hukufaulu vizuri masomo? au huna sifa ya kuajiriwa hukwenda law school au umekwenda ukabweteka unamisapu?bila shaka ndo umeanza kilimo,,,,,,,.
 
pamoja na kuwa watu wengi wamekusifia umethubutu lakini mi sijakusoma halaf naona kama vile unaleta stori za maskani au ni mtu ambaye una support kutoka sehemu nyingine aidha kwa wazazi au watu fulani, unapoleta thread kama hizi fikiria wale watu ambao walisoma shule za serikali au alilipiwa lakini baada ya kumaliza hamna msaada mwingine mkubwa wa kifedha atakaopewa zaidi ya nauli ya kwenda mjini ambayo ni buku, haya ngoja nikuulize halaf tuone kama dizain ya watu niliowataja watamudu au kw wataziweza izo gharama sio kuishia kutukana watu ovyo1. Hilo shamba la ekari 12 umekodi kwa kiasi gani ? So unafikiri watu wote waliomaliza chuo wanazo ?2. Na izo ekari 8 uliingia shambaoi mwenyewe kupiga jembe,? Kitu ambacho siamini. Au ulikodi vibarua au ng'ombe au trekta na kwa kiasi gani ? Nayo unafikiri wote waliomaliza chuo wanazo ?3. Gharama nyinginezo upaliliaji, mbegu.Haya gharama zote hizo ulipata wapi ? Your learned brother
upembevu yakinifu
 
HONGERA Amicus. sasa kamilisha mchezo mzima kisomi zaidi kwa kukata BIMA ya mazao yako. Usije lia msimu ujao kutokana na ukweli kwamba misimu ya miaka hii TUNABAHATISHA.
Think about it.
 
. Hongera kwa kuthubutu maana wasomi wa sasa wadhani kilimo ni kwa ajili ya ambaye hajasoma eti. Wewe pia kwenu ni Tanga? Ukiwa Mbeya au Mkoa wa Njombe, Rukwa na sehemu chache sana za nchi hii mahindi yakichomoza unaweza kuwa na uhakika wa kuvuna kama mbolea na zana nyingine umeziandaa lakini kwa Tanga thubutu wasijekuchecha hao wa ustawi wa jamii kabla hata ya Mei hii maana mvua zikikata huko wiki mbili tu lazima ulie. Kama ni Lushoto walau waweza kuzungumza lakini subiri uvune na uleeleze umepata faida kiasi gani.
Ni kweli.
 
Hata nisipopata mavuno mazuri, lakini najivunia kwasababu NIMETHUBUTU
Kila mtu anang'ang'ania "bado sijavuna bado sijavuna", jamani utavunaje bila kupanda? mm najivunia kwasababu NIMETHUBUTU (kwa kupanda), na ww umeshathubutu kwenye eneo lipi???
Umefanya jitihada amabyo wengne wanaweza kuiiga kulingana na fursa zao. Lakini maneno yako mengne ni kama uko katika mvutano na wengne kisheria (yaani fani yako inakukanganya) hivyo unataka uonekane ni zaidi ya wengne. Nadhani nawe usingeng'ang'ania kuthubutu! kuthubutu! kuthubutu!!!.. komaa usongeshe maisha yako
 
Mungu ibariki tanzania,mungu ibariki CCM!

Amin, yaa rabbil laa alamin!! Mola muumba mbingu na nchi na vilivyomo ndani yake aikubali duwa yako. In shaa allah iko siku utakuwa CHAI TAMU badala ya CHAI CHUNGU.
 
Mfano mzuri wa kuigwa, weka basi gharama halisi ulizotumia kukodi na kulimia na kupalilia kuoteshea mahindi kwa hekari 8
 
"Vijana, kumbe tukithubutu tunaweza! Wakati nikiwa nasubiri ajira rasmi nikaona si vema kukaa nyumbani idle, nikakodisha shamba la takribani hekari 12 maeneo ya huku kwetu Tanga, lakini kwasababu naanza nikatumia hekari 08 tu kwa kupanda mahindi, nashukuru kwamba karibu asilimia 99 ya sehemu niliyoitumia imekua ni ya mafanikio kwani mahindi yamechomoza vizuri sana yakisaidiwa na mvua za rasharasha zinazoendelea Wilayani kwetu. Sasa naielewa vema dhana ya Kilimo Kwanza.

Ushauri kwa Vijana wenzangu wa humu JF: Kwa wale mliomaliza Vyuo Vikuu kama mimi (bila kuzingati fani uliyosomea) na bado hamjaajiriwa, au hata kama hukufanikiwa kufikia level hiyo ya elimu ya Chuo Kikuu, tafadhali usibweteke nyumbani, unaweza kujaribu na kwenye kilimo tena bila kuona haya (weka ubishoo/ulimbwende pembeni). Kilimo ndio habari ya mujini...

Mimi nimemaliza degree ya Sheria Chuo Kikuu Mzumbe lakini nimejiajiri kwenye Kilimo, wewe mtoto uliyesoma Diploma ya Sociology Ustawi wa Jamii unaleta Uyoyoo! Shauri lako!"

unachokisema ni kweli kabisa ndugu yangu, watu wamemaliza full kukaa home lazima ujiongeze hata kama mzazi anakupa kila kitu, umri uliofikia lazima uanze kutafuta vyako. Mimi pia nimepanda matikiti heka mbili baada ya kuona kila nikiomba kazi sipati, na nimemaliza pia sheria mzumbe
 
kajitoleen hata lawfirms,mpate uzoefu! Km hamtak kuendelea na carrier endeleen na matikitimaji! HATA LAWSCHOOL hamjasoma mnataka ajira,limen matikitimaji huko kwenu!
 
ni vizuri kudhubutu,hongera zako nyingi ila usijione ndo umefka na kuanza kubeza wenzako wa ustawi au kusoma kwako sheria Mzumbe ndo unaona umemalza kila kitu? acha kuwa na fikra za kitoto angali humtu mzima.Watu mliosoma sheria sitaki kuamini kama ndio upeo wa mawazo nafikra mlionao.... acha ubwege
 
Back
Top Bottom