TATIZO NI kupeana nafasi kwa wewe ni mtoto wa nani..?
Wanawapeleka watoto wao wakasome ulaya, mimi nilijua wakija watakuja na AKILI ZA KIZUNGU wabuni mamitambo na mambinu ya maana kumbe wanaandaliwa kufanya kazi za kuomba KURA kazi ambazo inaitaji Mtu ajue kusoma na kuongea vizuri TU 🤣🤣🤣🤣🤣
Yani
Yani unasema watu wa jamii moja wakazaaa watoto wa jamii nyingine..??
Yani muethiopia mkushi mweusi awe ni baba mmoja na mrusi mweupe peeee 🤔🤔🤔
KUBWA JINGA inama ufikiri 🤣🤣🤣
Yani
Yani unasema watu wa jamii moja wakazaaa watoto wa jamii nyingine..??
Yani muethiopia mkushi mweusi awe ni baba mmoja na mrusi mweupe peeee 🤔🤔🤔
KUBWA JINGA inama ufikiri 🤣🤣🤣
Kaka nenda mpaka TFF angalia wakati wa kutoa tuzo pale Tanga yani mpaka kalio nae ni ivo ivo adi unajiuliza "uyu kalio amepataje urais..??"
Alafu ulishawai juiliza kwa nini ni Watu wa dini moja tu ndio wenye iyo tabia...??
Kwani hii Nchi ni ya Dini mbona ata mashuleni walimu wanalazimisha...
Kizazi Gani icho mkuu..?? Yesu alisema akiwa wapi....? Yesu alisema mwaka Gani....??
TANZANIA sio ISRAEL 😎😎 Nchi hii haindeshwi kwa Vitabu vya tamaduni za watu wa huko tena wa kale. Nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Vitabu vyetu na busara za WAZEE, viongozi wetu wa sasa na sio wa kale na...
Ukiongea ivo basi sifa na utukufu wapewe wagriki maana sayansi na siasa wao ndio founder ata ili neno democracy ni mzizi wa wagriki
Asa mbona unawapa Jews na sio griki
Bro unazungumzia kupata elimu au kutoboa...?? Kutoboa katika nyanja ipi uchumi au Elimu..??
Kupata Elimu ni haki ya kila Mtu, lakini kusoma au kutafuta elimu kwa bidii ilo ni jukumu lako na sio HAKI.
Wewe kama uliweza katika izo shule za KATA vipi wengine walishindwa..??
Lazima utumie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.