Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
FSB sponsor .. na ana ushawishi ktk serikali ya Russia.
Unategemea nini?
Unategemea nini?
AiseeeMUNGU WA WAISLAMU SIO MUNGU WA WAKRSTO.
KILA MUNGU ANA UTARATIBU WAKE MKUU
Mmmmmh! Wachagga acha uwongo wachagga ni wakawaida japo wanapenda elimu.Wewe nadhan ni wale watu wanaopenda ubishi wa kijinga. So wale watoto kwenye familia wako faster zaid ya wenzao unawazungumziaje. Mtu kama mo dewji unafikir baba yake ni mjinga yeye ndio akawa kiongoz wa kampuni zake. Au mbowe hujiuliz kwanini yeye katika watoto wengi wa mzee mbowe. Watu wote wako sawa ila sio watu wote wakko sawa kwenye kila kitu. jaribu kutofautisha nature na naturer. Ndio maana tuna kuja na idea tofauti. Wenzetu wamefanikiwa sana baada ya kugundua hiz asili. Kwa mfano ukienda China watu wa asili ya fujiang ndio wako faster kwenye kila kitu na serikali yao kwenye yale maeneo nyeti ndio wanashikilia ukija Kenya kuna mkikuyu ukienda Congo kuna wakasai ukienda nigeria kuna waibo ukija ukienda Rwanda kuna watutsi ukija bongo kuna wachagga India watu wa Gujarati wako faster kuliko wahind wote nk. Wako hivyo tu washaumbwa hivyo. Na sio ubaguz ni katika kubalance mfumo wa dunia. Hata watoto uliozaa kuna ambao wako faster wapo wa kati na wapo slow laner. Hiv kwa mfano unapomuona simba anamla swala porini unafikiri Mungu ni mbaguz au?
Umesahau taicoon Japna
C unapinga tu kishabiki lakin tembea popote nchi hii ukikosa mchagga secta yoyote kuanzia ofisin biashara kilimo madin na hata umachinga kwa namba kubwa uje unipige.Mmmmmh! Wachagga acha uwongo wachagga ni wakawaida japo wanapenda elimu.
Hapana watu weupe wana akili nyingi kuliko watu weusi kubali kataa, matokeo yanaonyesha kabisa mzeeMimi ni mkristo lakini si mjinga wa kuamini watu fulani wanaakili kuliko wengine..Mungu hana ubaguzi tunachotofautiana ni matumizi ya akili.
Hakuna aliyekataa kua mko Kila Kona kumbuka mpo wengi na mlipenda elimu kwakua ilikua Ina maslai na pili wakoloni walijenga shule nyingi kwenu lakini kusema eti nyinyi mna akili kupita wengine ni uwongoo tunawajua vizuri tu. Acha kutuokotaC unapinga tu kishabiki lakin tembea popote nchi hii ukikosa mchagga secta yoyote kuanzia ofisin biashara kilimo madin na hata umachinga kwa namba kubwa uje unipige.
Ukiongea ivo basi sifa na utukufu wapewe wagriki maana sayansi na siasa wao ndio founder ata ili neno democracy ni mzizi wa wagrikiWayahudi wana akili. Hii wala siyo nadharia. Anagalia tu trends za ugunduzi wa madawa, technolojia, silaha, biashara na mengine mengi.
abJohn Obi Mikel: "My dad got kidnapped while I was playing for Nigeria at the 2018 World Cup in Russia."
"We were about to play against Argentina. Two hours before the game I got a phone call from my brother saying my dad got kidnapped."
"The first time he was kidnapped was shocking, but the second time was even more shocking because I was about to go into one of the biggest games of my life."
“I couldn't leave the room. I couldn't tell anybody. I was alone in the room for about 30 minutes, thinking what am I going to do?"
"But we're about to go into the biggest game of our lives. We're about to play against Lionel Messi and Argentina."
"Chelsea were very supportive. I remember Roman Abramovich saying 'do you want me to send people over? Because I know if I send people over, I can get your dad out' — I was like, how are you going to do this?"
"He said don't worry about that. Just let me know if you want that option, I can do it."
(@talkSPORT)
4/5 days after the game, John's father was released and rescued by policeView attachment 2808914
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Kuna intelligence questiont na intelligence motion. Mzee kwa hapa nchini hakuna anaemzid mchagga kwenye intelligence motions. Labda mhindi na mwarabu. Awe ameenda shule au hajaenda shule. Shule ni muhimu lakin uwezo binafs wa kuyachakata maisha yaje na hela ni kitu kingine. Unazungumzia wingi kwani wasukuma sio wengi. Na kwa taarifa yako wachagga wasiosoma ni wengi kuliko waliosoma na wana maisha bora kuliko waliosoma. Hiz shule za kata Moshi zilijengwa na wazee miaka ya hamsin huko. Moshi mfumo wa umwagiliaji wa mashamba ulikuwepo kabla mzungu hajaja. Huu mfumo wa ujenzi wa utaratibu wa viwanja Moshi upo kabla mzungu hajaja. Kijijin hakuna uswahili kuna mpangilio wa ardhi barabara na maeneo ya shule au kanisa cku mingi. Wazee wenyewe bila shule walishajiongeza. Ikulu ya Moshi ndio ilikuwa ikulu ya mfalme kwetu mpaka leo hawajabadilisha chochote. Mwaka 1935 Moshi walikuwa na chama cha ushirika na hawakuwa na shule by then. Africa nzima hawakuwa na hicho chama.Hakuna aliyekataa kua mko Kila Kona kumbuka mpo wengi na mlipenda elimu kwakua ilikua Ina maslai na pili wakoloni walijenga shule nyingi kwenu lakini kusema eti nyinyi mna akili kupita wengine ni uwongoo tunawajua vizuri tu. Acha kutuokota
Kichwa Kama miye piaRussian Israel huyu, akili mingi, hawa Israel wana akili kama mimi, Abromavich ni kichwa sana
Amechukua timu huko?, niliipenda Chelsea ila saivi moyo unafilisika
😂🤣Mchaga.h na intelgence wapi na wapi?labda ya wizi na kunywa mbegehhKuna intelligence questiont na intelligence motion. Mzee kwa hapa nchini hakuna anaemzid mchagga kwenye intelligence motions. Labda mhindi na mwarabu. Awe ameenda shule au hajaenda shule. Shule ni muhimu lakin uwezo binafs wa kuyachakata maisha yaje na hela ni kitu kingine. Unazungumzia wingi kwani wasukuma sio wengi. Na kwa taarifa yako wachagga wasiosoma ni wengi kuliko waliosoma na wana maisha bora kuliko waliosoma. Hiz shule za kata Moshi zilijengwa na wazee miaka ya hamsin huko. Moshi mfumo wa umwagiliaji wa mashamba ulikuwepo kabla mzungu hajaja. Huu mfumo wa ujenzi wa utaratibu wa viwanja Moshi upo kabla mzungu hajaja. Kijijin hakuna uswahili kuna mpangilio wa ardhi barabara na maeneo ya shule au kanisa cku mingi. Wazee wenyewe bila shule walishajiongeza. Ikulu ya Moshi ndio ilikuwa ikulu ya mfalme kwetu mpaka leo hawajabadilisha chochote. Mwaka 1935 Moshi walikuwa na chama cha ushirika na hawakuwa na shule by then. Africa nzima hawakuwa na hicho chama.
Kwani mzungu anafanyaje dunian. Wezi wote ni majinias nikupe Siri. Hakuna wizi bila akili😂🤣Mchaga.h na intelgence wapi na wapi?labda ya wizi na kunywa mbegehh
Hakuna mcha.gga.h geniousKwani mzungu anafanyaje dunian. Wezi wote ni majinias nikupe Siri. Hakuna wizi bila akili
Ndio nakuambia Dunia yote fuatilia si wazungu wajapan wahind wachina ni wiz wiz ujanja ujanja utapeli na kila kitu. Ndio kujiongeza huko nenda Nigeria nenda kenya hapo nk. We unafikir unatumia akili gan kumzid mtu mpaka akupe hela yake. Mzee hii ni Babylonian system. Hiv unavyoona mikataba kama hiyo ya bandari mliyosainishwa unafikiri sio utapeli ule. Wanaume wamekaa chini wakapiga hesabu wakajua hapa watamkamata huyu na huyu biashara imeisha mnapigwa.Hakuna mcha.gga.h genious
Wale no matapeli
BerezovyskyRoman Abromovich alikua jasusi ndani ya England !alifanikiwa mauaji yalee ya yule mrusi aliekua uhamishoni uingereza kipindi kile!!
Yule ni Right hand man wa putin ndio maana alimwambia Obi kuwa awatume watu kule kumuokoa Baba yake!!
ab
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji1787]Mchaga.h na intelgence wapi na wapi?labda ya wizi na kunywa mbegehh