Recent content by Daghaseta

  1. Daghaseta

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

    Tusubiri tuone. Labla ndiyo mana mwenyewe kasema maridhiano si udhaifu.
  2. Daghaseta

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuna tatizo kama ni kweli

    Ya lini hayo, kwani huyu ni mwana chadema bado, upuuzi tu.
  3. Daghaseta

    JamiiForums Tanzania Waliopokea pesa za moto CHADEMA waanza kuliwa vichwa

    Unahoji kwenye kikao gani, ukisema fulani kala ni kuhoji au kutuhumu, wamepewa siku 14 wathibitishe tuhuma.
  4. Daghaseta

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua faida za ibada za asili/ matambiko

    Hii iko vizuri.
  5. Daghaseta

    JamiiForums Tanzania Leo nimepata amani na faraja baada ya kupata taarifa nzuri kuhusu wale watoto wanaokaaga pale ubungo hadi maeneo ya kimvulini

    Limeenda kuwazika hai au limewapeleka wapi? WAKO WAPI???
  6. Daghaseta

    JamiiForums Tanzania Nashuku sana watanzania kwa kumpuuza Polepole na mafisadi wenzie

    Nani kasema!
  7. Daghaseta

    JamiiForums Tanzania Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

    Vyema.
  8. Daghaseta

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Airtel 4G pocket Wi-fi

    Baadaye recharge yake inakuwaje?
  9. Daghaseta

    JamiiForums Tanzania Tetesi Dhidi ya Tundu Lissu imekamilika

    Safi
  10. Daghaseta

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na wadau wengine kuishtaki Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)

    Sijui kama wameliona hili, katiba ya Jamhuri ya Muungana wa tanzania ibara ya 75(6) Bila kujali masharti mengineyo ya ibara hii, hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza jambo lolote lililotendwa na Tume katika utekelezaji wake wa kugawa Jamhuri ya Muungano katika majimbo ya...
  11. Daghaseta

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Special Thread: Matukio ya Rafu za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Nafuatilia kwa karibu sana.
Back
Top Bottom