Sio kweli mkuu, huyo mama alikiri kwa mtoto akimwambia majukum ( mwanangu nisamehe nimejikuta nakuchukia tu Bila sababu sielewi ni kimenikuta Hadi iwe hivi. Sasa hapo Kosa ni nini lkn bado akiwa na shida huyu kijana ndio mtetezi wake mkuu na kimbilio, lkn huyu mama akijaaliwa chochote kipato au...
Labda uzungumzie kuhusu watoto ku cort vibaya lkn Kuna mafundisho mengi Sana hasa kea vijana wanaotafuta maisha kea njia ya short Kati, iwe ni kweli au si kweli muhimu ni mafundisho n'a onyo kwa vijana.
Hivi ni nini chanzo ama sababu kuu ya mzazi kumchukia mtoto wake wa kuzaa kabisaa, Hasa mzazi wa kike unakuta anamchukia mtoto pasina sababu ya msingi akiulizwa hasemi sababu anabaki kusema hatikaa afanikiwe, na ikitokea mtoto huyo kapata tatizo ama kuuguliwa mtoto au kuibiwa kitu, mzazi huyo...
Sikushtuka sana kuzindua Barbara kwa Mara ya pili, kwan ni tabia take hata pale alipozindua kiwanda cha chuma chakavu wakati tiari kishazinduliwa na kufanya Kazi miaka zaidi ya 9 huko nyuma
Bali nilishtushwa na figure yake kilomita 132 kwa tsh 163 billions.
Wakati rais Wa watu aliizindua ikiwa...
Siasa mchezo mchafu!kila nabii na zama zake hata manabii wa uongo wana zama zao utakumbuka Waliibuka NCCR,CUF, UDP, TLP Woote hao zama zao ziliisha japo miongon mwao walikuwepo manabii wakweli lakini mwisho wa siku walimuacha mteule kutoka kwa MUUMBA akiendeleza utawala wake na hivyo ndivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.