Nini chanzo ama sababu ya mzazi kumchukia mtoto muadilifu.

Dadyboy

Member
Nov 18, 2013
16
8
Hivi ni nini chanzo ama sababu kuu ya mzazi kumchukia mtoto wake wa kuzaa kabisaa, Hasa mzazi wa kike unakuta anamchukia mtoto pasina sababu ya msingi akiulizwa hasemi sababu anabaki kusema hatikaa afanikiwe, na ikitokea mtoto huyo kapata tatizo ama kuuguliwa mtoto au kuibiwa kitu, mzazi huyo hufurahia na kusema na bado, na ikitokea mwanae anakesi na mtu mwingine mzazi husimama upande wa mtu baki hata km hajui source ya kesi ni kitu gani. Lkn awapo na mwanae huyo hujifanya kumpenda na kumtetea. Unahisi inaweza kuwa nini chanzo?
 
hayupo mama wa hivyo duniani mkuu mama hata umfanyie nini atakuwa anakuangalia tuu na kukushangaa na wala hawezi kukuchukia hata nukta moja hata umtukane hata umfanye nini...sisi watoto ndo huwa tunahisi wanatuchukia endapo pale wanapotaka kutuewka sawa kwa mambo fulani fulani but na kwa kesi yako mkuu chichunguze huenda unatabia mbovu au umemfanyia mama yako matendo mabaya sasa hapo unafeel guilty ndio inayokusumbua
 
Sio kweli mkuu, huyo mama alikiri kwa mtoto akimwambia majukum ( mwanangu nisamehe nimejikuta nakuchukia tu Bila sababu sielewi ni kimenikuta Hadi iwe hivi. Sasa hapo Kosa ni nini lkn bado akiwa na shida huyu kijana ndio mtetezi wake mkuu na kimbilio, lkn huyu mama akijaaliwa chochote kipato au kitukizuri huwajari Hao wengine, humsahao huyo mmoja, lkn akiwa n'a shidayyt huanza n'a huyommoja.
Hiyo imekaaje
 
Alipata mimba kwa kubakwa over.........!

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom