Kwa nn IGP aijiuzulu kwa kushindwa kusimamia usalama wa raia? Ndani ya mwezi mmoja si chini ya matukio manne (4). Nadhani ni uungwana kuachia ngazi na kupisha wengine wenye uwezo wa kusimamia usalama wa raia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.