britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,167
- 33,540
Niliwahi kusema Magufuli siyo Mungu kutokosea wala si malaika, sababu hata kabla ya kuchukua form kuna mambo tuliwahi kutofautiana, lakini kulingana na aina ya wagombea aliosimama nao niliona angalau ana uafadhali kwa asilimia 45 ya kuwa rais wetu.
Vyama vingine vilisimamisha wezi wa mifugo kwenye ranchi, wezi wa rasilimali, wezi wakubwa na wapiga dili, kwa upande mwingine vingine vilisimamisha wasio na uwezo kumtizamo.
Wengine nia ilikuwa kuongeza ruzuku kama ACT,Sasa kwa yanayoendelea juu ya uongozi wa rais Magufuli tuyakubali hivyo hivyo hakuna kiongozi malaika, japo yanakuzwa sana na wapinzani, ambao walisimamisha watu kwa tamaa tu, tumuunge mkono Magufuli.
Ni mara mia akaikanyaga demokrasia lakini akaleta heshima, na kuwafanya watu kuwajibika, tuache kulialia kama Ben saanane na wengine.