Mjadala ni mtamu ila mmesahau kabisa ishu ya mbuzi.
Maswali:
1. Eka moja tambarare ya majani inatosha mbuzi ngapi?
2. Je Wakomoro wananunua mbuzi kwa fujo pia, au wao wanataka ng'ombe tu?
3. Je yupi analipa kibiashara kati ya mbuzi na ng'ombe ukichukua muda wa kumfuga mpaka unamuuza na gharama...
Uko sahihi. Kausha damu inalipa sana. Riba 20% hadi 30% kwa mwezi.
Ila hizi akaunti za uwekezaji kama hii ya M-Pesa au ile ya UTT ni nzuri kwa kutunzia pesa za vikundi vyenye malengo. Badala ya kuacha hela benki au kwenye M-koba ambako haiongezeki, mnaweka huku mnapata kariba kidogo.
Wapinzani wengi ni watu wa mihemko na hasira. Wanadhani kuwa serikali peke yake inaweza kuwapatia hela moja kwa moja au kuwaajiri moja kwa moja. Wanadhani kuwa ni haki kutafuta hela bila ya kujali sheria zinasemaje. Wakichukuliwa hatua halali za kisheria wanaona serikali ni adui.
Na mbaya zaidi...
Kwani wewe ulitaka kuona nini? Na ili iweje?
Ulitaka serikali ianguke halafu Tanzania igeuke kuwa Somalia au Sudani?
Elewa kwamba serikali ina jukumu la kulinda maslahi mapana ya nchi. Na maslahi mapana makuu kuliko yote ni kuhakikisha serikali haianguki kwa namna yoyote ile.
Kitu kuwepo toka zamani hakimaanisha kwamba hakikuwa cha kijinga toka hiyo zamani.
Ila kikubwa kuhusu zamani ni kwamba wanawake walikuwa wanaolewa wakiwa bikra. Kulipia bikra ni sahihi kabisa. Ila kulipia tobo walilopita wenzako ni upumbavu wa hali ya juu.
Aziz Ki ni mtoto mdogo bado...
Uko sahihi kabisa mwanangu, ila wajinga ni wengi dunia hii watakupinga. Sio kila mwanaume anajielewa kikamilifu linapokuja suala la kuoa. Wengi wanaoa ili kufurahisha watu kama vile wazazi, ndugu, majirani na wanakosali.
Acha ujinga wewe. Yaani katika ufala unaoweza ukafanya duniani ni kumlipia mahari mwanamke asiye na bikra. Mwanamka kama hana bikra we chapa tembea. Kama umempenda sana, basi tia mimba zaa naye mlee mtoto au watoto. Lakini sio kulipia mahari.
Wote waliolipia mahari wanawake ambao hawakuwatoa...
Hawajulikani hao. Mi ndo nawasikia leo toka kwako.
Yaani hata Kinje mtoto wa Kingunge alikuwa anajulikana enzi zake ameshika maegesho ya jiji la Dar pamoja na stendi ya mabasi ya mikoa Ubungo.
Hata maraisi wengine watoto wao sio wote wanajulikana.
Kwa Mwinyi anajulikana Hussein Mwinyi tu.
Kwa Mkapa hakuna hata mmoja anayejulikana.
Kwa Kikwete anajulikana Ridhwani.
Kwa Magufuli anajulikana Jesca.
Na kwa Samia hakuna anayejulikana.
Hakuna ulazima wa kuwajua watoto wa Marais...
Shida yenu kubwa nyinyi wanawake watu wakweli hamtutaki. Mi mwenyewe zamani nilikuwaga mkweli nikapataga demu mmoja mbaya kama mbibi vile watu kumbe wananicheka kisogoni. Ila nilipochangamka na kuanza uongo nimekula mpaka mzungu, mwarabu, mchina na msomali. Wa kibongo hao ndo usiseme hakuna mkoa...
Kwani huu utaratibu wa kukatiwa rufaa nje ya nchi yako uko nchi gani na gani?
Hayo mataifa unayoyataja nayo yana huo utaratibu, au yanamaliza matibabu yote ndani ya nchi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.