Hata maraisi wengine watoto wao sio wote wanajulikana.Watanzania wengi hawawajui vizuri watoto wa mwalimu, anayejulikana zaidi ni Makongoro tu!! Hii familia ililelewa kwa misingi ya Usawa!!
Naambiwa na mdau mmoja kwamba enzi hizi alisoma na Madaraka pale Tambaza, alikuwa anakuja na baskeli yake toka kwao msasani hadi shule wakati watoto wa mawaziri wengine wakiletewa na kombi.
Mwalimu alikuwa ni mjamaa kweli kweli aliyeamini usawa kwa binadamu wotei!!
Kwa Mkapa anajulikana Nico, kwa Samia Anajulikana Abduli na WanuHata maraisi wengine watoto wao sio wote wanajulikana.
Kwa Mwinyi anajulikana Hussein Mwinyi tu.
Kwa Mkapa hakuna hata mmoja anayejulikana.
Kwa Kikwete anajulikana Ridhwani.
Kwa Magufuli anajulikana Jesca.
Na kwa Samia hakuna anayejulikana.
Hakuna ulazima wa kuwajua watoto wa Marais. Wanaowafuatiliaga kwa karibu watoto na ndugu wa Rais ni wapiga dili wakitafuta connections.
Poleni sana,Mungu na awe faraja kwenu wote!John Nyerere, mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere, amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
========================
UPDATES;
Ratiba ya Mazishi
![]()
Hawajulikani hao. Mi ndo nawasikia leo toka kwako.Kwa Mkapa anajulikana Nico, kwa Samia Anajulikana Abduli na Wanu
Sasa wewe kutowajua ndiyo kumaanisha hawajulukani, Nicolas mbona yupo serikalini, Wanu si ni mbunge. Mbona sisi tunawajua na tupo hapa hapa Tanzania?Hawajulikani hao. Mi ndo nawasikia leo toka kwako.
Yaani hata Kinje mtoto wa Kingunge alikuwa anajulikana enzi zake ameshika maegesho ya jiji la Dar pamoja na stendi ya mabasi ya mikoa Ubungo.
R.I.P comrade and veteran. 47 years after Iddi Amin war and 26 years after departure of of your farther - The Farther of the Nation.John Nyerere, mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere, amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
========================
UPDATES;
Ratiba ya Mazishi
![]()