Fanya kipimo cha CT scan, mimi niko na shida kama yako ila mimi ni maumivu ya tumbo hasa upande wa kulia kwa juu kidogo nilifanya hicho kipimo na kinaonesha kuna shida tumboni inayohitaji upasuaji kwa kuwa imeshakuwa kubwa. Ila kama ingekuwa mwanzoni pengine isingehitaji upasuaji. Nakushauri...
Siyo Jeshi tu hata sekta zingine zinapaswa kuonyesha umahiri wa technolijia. Sasa jiulize wewe kwenye sekta yako kuna kipi kipya kinachoendana na wakati au ndiyo ile kutoa kibanzi kwenye jicho la mwingine ilhali nawewe una boriti jichoni?
Kuna watumishi wanaofanya kazi jeshini mfano baadhi ya waalimu, kada ya afya, baadhi ya makarani n.k nadhani hawa ndiyo wahanga wa hili swala. Kwenye mifuko ya jamii wanajeshi hawachangii ila watumishi wa kiraia wanachangia. Mtoa mada angeweka wazi ili watu wajue pa kuanzia kusaidia kuokoa jahazi.
Siku watanzania watakapoamua kufanya kazi kabisa na kuacha kupambana na kivuli cha Magufuli, kuendelea kulinganisha utendaji wa viongozi, na ushabiki wa vitu vya hovyo kama Simba na yanga, taifa litapiga hatua kubwa sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.