Recent content by dadamkubwa

  1. dadamkubwa

    Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

    Siyo kweli bana mi nilifundishwa gari na mume wangu,labda useme ni wanaume wachache wanaofanya Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  2. dadamkubwa

    Salama Jabir punguza usela

    Yaan mm yule wa zamadamu huwa ananikera na ile saut yake Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  3. dadamkubwa

    Sakata la picha chafu: Wema, mama Wema kusoma albadili

    Hahahaha et kuhonga kipaji kwa hyo daimond hana hicho kipaji.....hv vile vifaa vya ofc ya wema alishaga nunua Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  4. dadamkubwa

    Kiwanja kinauzwa tegeta bei ya kutupa

    Vipi kiwanja kimeshapata mteja.? Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  5. dadamkubwa

    Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame

    Hiv hzo tuzo zitaonyeshwa saa ngap..:? Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  6. dadamkubwa

    Hawa wajita ni watu hatari saana!

    Mabint wa kijita wananini mkuu kaka angu kaoa mjita mwaka wa saba huu hawana tatizo wanaish vizur tu Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  7. dadamkubwa

    Natafuta kozi ya advanced excel.

    Ntashukuru, but all formula na conditns ntazpata humo?? Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  8. dadamkubwa

    Natafuta kozi ya advanced excel.

    Habari wanajamii? Mimi ni muajiriwa kwenye kampuni fulani mkoani morogoro, naomba msaada kwa yeyote anayefahamu mahali ninapoweza kupata utaalamu wa advanced excel. Sio muhimu sana kupata cheti, na kozi isiwe ya muda mrefu pia. Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  9. dadamkubwa

    Mtoto analala akistuka anadai nyama yake

    Hata mimi naona kama siyo ishara nzuri hasa kwa mtoto kwa nn adai nyama usiku tu na siyo mchana kuna mamna hapo afanye maombi tu Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  10. dadamkubwa

    Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

    Heeeee Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  11. dadamkubwa

    Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani

    Tena sana sana usiku yaan mabao yangekuwa na mlio ka bunduki usiku tungekuwa tunasikia puu puuu puuuuu teh teh teh Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  12. dadamkubwa

    Kila nikimnyonya naishia kutapika, kumuacha siwezi sijui nifanyeje!

    Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  13. dadamkubwa

    My aunt's house girl

    Hata mm huo ni wasiwasi wangu siku hizi wasichana wa kazi si wakuwaamin sana wengine ni wachawi Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  14. dadamkubwa

    TB Joshua: Utabiri wake watimia, Nigeria kuwa #1 Kiuchumi

    Mh!!!! Mtumish wa mungu huyo lakn c vzr kumtolea maneno hyo kama huna uhakika n heri ukae kimya Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom