KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Substation itakuwa Nansimo(nyansimo)
Haya majamaa akina yego watu hatari sana kwani wameweza kuwa influence NOKIA ambao wametoa simu yenye lugha ya KIJITA.
Sijui wamewezaje lakini habari ndiyo hiyo. Katika machache niliyoweza kuelewa ni kama haya:-
Phonebook ECHITABHO
Menu AMAGAMBO
names/contacts AMASINA
Time OMWANYA
Ringtone LILILILO
Settings OMWINYANJO
Call BHUMA
Received calls JILAMIBHWE
Missed calls ITALAMILWA
Games OBHWENYWA
Vibration INYEGHENYHO
tunaomba mzidi kututafsiria mengine! chezeya furu weye!!!
umbea tu wajita wanajulikana kwa unafiki tu
100 mkuu. Wanafiki sana,wabinafsi,mbaya zaidi uwe umeoa binti wa kijita utachukia kuishi.
NOKIA -Inokia
Teh yego kuna tetesi kuwa NOKIA wanataa kufungua branch yao MUGANGO..........
Kwanini mkuu,tolea maelezo kidogo100 mkuu. Wanafiki sana,wabinafsi,mbaya zaidi uwe umeoa binti wa kijita utachukia kuishi.