Recent content by Dada Princess

  1. Dada Princess

    Swali gumu kutoka kwa Kipanya

    hahaaa! kweli huu ni ubunifu haswaa wenye maana kubwa sana
  2. Dada Princess

    Naweza kuwa dereva wa Uber ilhali mimi ni binti?

    Hakika nimekupenda sana dada kwa mawazo yako, una uthubutu, una nia na njaa ya mafanikio hongera sana. Lakini wadau wenye uzoefu na hili mwenzetu kauliza maswali hapo tumjibu apate moyo zaidi.
  3. Dada Princess

    Hivi hua mnajisikiaje??

    BradFord93, Mimi nitampa hongera ya kinafiki japo najua itaniuma.
  4. Dada Princess

    Kuuliza sio ujinga, hii huduma kutoka Tigo ni ya kweli?

    Sijaona hii.... tusubiri wengine
  5. Dada Princess

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Utakula ulikopeleka mboga 😂
  6. Dada Princess

    Roho inasita kumpatia mpenzi wangu Zawadi

    Follow your heart my dear
  7. Dada Princess

    Mzazi maneno haya unasema mara ngapi kwa siku?

    Ni lazima utajua anaumwa tu hapo hospitali itamhusu.
  8. Dada Princess

    Mzazi maneno haya unasema mara ngapi kwa siku?

    Nani alikuambia maneno mazito kiasi hicho?
  9. Dada Princess

    Mzazi maneno haya unasema mara ngapi kwa siku?

    Amen nashukuru japo siyo kwa uwezo wangu bali ni kwa neema ya Mungu baba
  10. Dada Princess

    Mzazi maneno haya unasema mara ngapi kwa siku?

    Asante nitajitahidi jampo watoto ni furaha ya wazazi
Back
Top Bottom