Ndg yangu mpendwa, hivi miaka mitatu tu unakata tamaa ? Umeshathibisha kama mkeo ndio ana matatizo au mmezoea kuona upande mmoja ? Vipi kwenda kwenye vipimo ? Mtoto ni zawadi ambayo mungu huamua kumpa mwanadamu kwa wakati wake, pamoja na vipimo, kuwa na imani, wkt wa mungu ukifika utapata...
Unajua ungali bado unaishi usiongee mabaya, hapo ulipo hujui kesho yako. Wengine wamekuwa hivyo kutokana na mazingira waliyokutana nayo. Wengine walifiwa na kubaki wakilea watoto peke yao. Kuna mambo mengi mtu amepitia mpaka akawa hivyo, usipopitia wewe wanaweza kupitia watoto wako. Usimtukane...
Muombe mungu akuongoze kwa jambo hilo la kutafuta mwenza kwa akili na macho yako pekee huwezi. Moyo wa mtu una siri nyingi/anayeujua moyo wa mtu ni mungu pekee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila na wewe, mtoto wa miaka minne ni mdogo sana kumtenganisha na mama yake, Ila kwakuwa na yeye hakai nae, kuliko kumsumbua bibi bora ukae na mwenyewe, hapo inategemea hekima na busara zako kuongea na mama mtoto wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini hukufuatilia? Lazima risiti ifanane na bei waliyoiandika kwenye hiyo barua yao. Inawezekana pia mchapaji alicopy barua ya mtu mwingine.
Post sent using JamiiForums mobile app
Gudume mtangulize mungu katika hitaji lako, wewe utaona utu wa nje lakini mungu anaona ndani. Mke mwema anatoka kwa mungu pekee, dumu ktk kuomba utampata anaestahili, kila la kheri
Nakupongeza kwa maauzi yako na ujasiri uliounyesha wa kuuthamini mwili wako, siku zote mwanamke ukionyesha msimamo wako unaonekana mkosaji, upo sawa kabisa, endelea kujitunza ili kusudi la mungu litimie huyo hakuwa mume wako, uvumilivu wako utapata unachostahili.
Kwanza futa usemi wako kuwa, wanawake wachafu. Ungesema mwanamke uliiyekutana nae ni mchafu. Ulimwambia ukweli au umekimbilia huku kumsema atajuaje kosa lake? Una kazi , hivi unawezaje kukutana na mtu siku moja ukaenda nae? Ndio malipo ya uliyokutana nayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.