chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 764
- 1,260
Hahaha!bro we mchokozi!!!!!Hongera bwana Ernest Mwakasege kwa kulipia kodi ya jengo!
666
Post sent using JamiiForums mobile app
Hahaha!bro we mchokozi!!!!!Hongera bwana Ernest Mwakasege kwa kulipia kodi ya jengo!
666
Hivi jama utaratibu ukoje?Pole sana.
Na hiyo ni 2016/2017, tarehe 17/07/ 2017 inakuja ya mwaka 2017/2018
haya mdhuru sasa kama ni rahisi hivyoLabda Hiyo nyingine itakuwa kodi ya malipo ya kodi, hapo ungegoma kuondoka mpaka upate chenji kamli, naona umeamua kuweka jina na TIN yako wazi kupitia hiyo risiti, hizo ni "personal data", mtu anaweza kukudhuru kupitia taarifa zako
Sina nia ya kumdhuru ndio maana nimetoa angalizo asijisahau kuachiw hizo taarifa, tatizo Watanzania wengi tunapenda ujuaji na ligi zisizo na maana, moja ya sifa za mtandao huu ni kuwapatia watu fursa ya kutokujulikana utambulisho wako (anonymity), kuna watu humu wameshatafutwa sana mpaka muanzilishi wa JF mwenyewe aliwekwa ndani kwa kugoma kutaja taarifa binafsi "Personal Data" za huyo aliyekuwa anawindwa.haya mdhuru sasa kama ni rahisi hivyo
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu ya full kuingizana king ukishuta tayare ushaliwa!!!Pole sana.
Na hiyo ni 2016/2017, tarehe 17/07/ 2017 inakuja ya mwaka 2017/2018
Mkuu kwanza unaenda kwa mtendaji kuna fomu utapewa utaijaza kisha utaenda TRA huko ndo utakapo ambiwa ulipe kiasi ganiHivi jama utaratibu ukoje?
Unaanzia kwa mtendaji wa mtaa au unaenda moja kwa moja tra au makadirio yanapatikanaje?
Wengine hatujalifanya hili zoezi na tunahofu yasijekuwa ya vituo vya mafuta!!
Sikujua mkuu baadae ndo nkaja kugundua hilo
Duuh pole , ingekuwa mm ningeanzisha tibwli la asha ngedele balaa, et tinasema rais wawanyonge hadi nyumba zetu za tembe tunazilipia kodi, kwA hiyo nyumba nimeijenga mwenyewe sina haki ya kuish kama sina hiyo kodi kaaah balaa.Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki,
Labda niende kwenye mada moja kwa moja siku ya leo nilienda kulipa kodi ya majengo katika ofisi za TRA baada ya kusikia tangazo kuwa leo ndio siku ya mwisho ya kukusanya kodi ya majengo.
Baada ya kukaa mda mrefu kwenye foleni takribani masaa 5 nikafanikiwa kuingia ndani ya ofisi za TRA cha ajabu nilipofika kuhudumiwa nikaambiwa kwa thamani ya jengo unaloishi inabidi utoe kodi ya Tsh 27000.
Nikaingia mfukoni nikatoa Tsh30000 nikarudishiwa elfu 3000 cha ajabu nikiangalia risiti niliyopewa inaonyesha nmelipa elfu 15000 kwaiyo takribani elfu 12000 haipo katika risiti sasa wanandugu je hapa sijaingizwa mjini na hawa TRA ?
![]()
Mkuu haihitaji elimu hata ya darasa la nne kujua kwamba umeingizwa mjini, malipo yoyote utakayoyafanya popote pale kama hayaonekani kwa utimilifu kwa kadri ya ulivyotoa basi ujue ziada ni chakula cha watu. Pili mambo ya ukadiriaji wa jengo Mkulu alishayatolea tamko kwamba hayapo na kwamba kodi ya jengo ni 15,000 bila kujali thamani ya jengo.Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki,