Recent content by dada jane

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msafiri Mtemelwa aomba kuondoka CHADEMA; MM’s wamrubuni aitishe press conference kutukana

    Kuweka kumbukumbu sawa. Tweve na watu wa kusini. Hata mimi ni mngoni na mcdm pure.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma juu ya kutelekezwa na chama changu (NCCR Mageuzi)

    Rudi kwa baba dean of student ukaombe msamaha. Maana ndiko ulikoanza kupotoka.
  3. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana libarikime. Pole Zitto.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wale wote waliosoma Lugalo sekondari Iringa mpo?

    Really nakemea toka rohoni. Japo kwa Tanzania ya leo hatakiwi. Ukiwa against ufisadi basi ujue wewe hata kaa upande daraja, cheo wakipenda hata mshahara na wasingizia masa Epicor mara mfumo. Mungu atusaidie hii nchi upepo huu upite vinginevyo vizazi vijavyo watachinjana kama Somalia na other like.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wale wote waliosoma Lugalo sekondari Iringa mpo?

    Da nimekumbuka mbali sana ndugu yangu. Mungu ametunusuru. Basi tulio hai na tutende mema kwa jamii inayotuzunguka. Tusiwe part of ufisadi. Binafsi bado nina mawasiliano na herieth,grace tendega, monika, vangamela et el
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wale wote waliosoma Lugalo sekondari Iringa mpo?

    Ha ha ha ha ha. Uko wapi ndugu yangu. Cocroach sasa hivi yuko Kyela ni katibu wa cwt.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

    kimeniuma sana aisee. Kulizagaa habari kile kipindi cha kampeni(2005) cha baba yake kuwa aliahidi kuwa kinyume na baba yake vinginevyo amwahidi sehemu ya urais wake otherwise ataweka kila kitu hadharani alivyomfanyia mama yake. Labda ndo sababu hata akifanya cha ajabu baba yake anamwangalia tu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vyote vilivyoko tanzania ni fake,fake,fake sijawahi kuona.

    Yetu macho kati ya watani wawili.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi kalenga: Mapokezi makubwa yanamsubiri bi.grace tendega wa cdm.(picha)

    Kila raheli classmate kwa mama Lambo(Rip).
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Nilijua tu kuwa iko siku litatokea hili. Mimi ni mwalimu wa Elimu maalumu(ya wanafunzi wenye mahitaji maalum) kuna kanuni inasema hivi "chukua lililozuri/jema toka kwa mwanafunzi wako ili umwendeleze/kuchochea kipaji alichonacho. Pia ni rahisi hata kumrekebisha kasoro zilizopo.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA kutoa majibu ya UONGO dhidi ya hoja za kweli za Mwigamba ni kwa faida ya nani?

    Huku ni kututia aibu wanawake wenzio..
  12. D

    JamiiForums Tanzania Jk pesa za rada mmezipeleka wapi mbona hivi loh?

    Hakuna hiyo kitu ndugu yangu. Vitabu vimeletwa wilayani ndo vinasambazwa mashuleni. Vitabu vyenyewe ni vya publishers tofauti tofauti. Kuna oxford, macmillan, sijui twiga nk. Hivyo issue ya kutumia kitabu kimoja nchi nzima tusahau.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Jk pesa za rada mmezipeleka wapi mbona hivi loh?

    Nchi hii ya ajabu sana. Vitabu vya ajabu sana. Pia imefanya maafisa elimu kugeuza vuna vuna time. Zinavutwaje per diem? Kwenda kusambaza vitabu.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ichunguze kwa makini watumishi wake mamluki.

    Ndio hivyo tena ndugu yangu. Manni.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ichunguze kwa makini watumishi wake mamluki.

    Ha ha ha ha eti mtumishi mwaminifu. Umenifanya nicheke maana nilikuwa nimekasirika siku nzima baada ya kukuta vitabu vilivyogawiwa shuleni kwetu vya chenji ya Radder ni vituko tu. Naamini hali ya elimu itaendelea kuwa mbaya sana pamoja Brain Receive Nothing yao.(Big result now)
Back
Top Bottom